Peoples Power!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
345
:sad:Ni ukweli usiopingika kuwa mtu asiye na uhakika wa kula, kuvaa, kusoma/kusomesha, kutibiwa, kulala, n.k. hawezi kuwa na amani!! WaTZ tunaambiwa kila kukicha kuwa nchi yetu ina amani wakati aslimia kubwa ya watu wetu hwani amani kwa vile wanakosa mahitaji yaliyotajwa hapo juu. Watu wa Misri na Tunisia walikuwa au wana afadhali sana ukilinganisha na sisi kimaisha, lakini wamethubutu kufanya walioyafanya. Sisi vipi?

Nawakilisha:sad:
 
Sisi bora tuwaite wakoloni waje watutawale. Hakuna anayethubutu kutuongoza kufanya hivyo. Akina mgayo ndo hovyo kabisa, Dr nae kanyamaza kimya hata hatujui yuko wapi.
 
Wajerumani walipotutawala walitujengea reli ya kati. Sisi tumefanya nini baada ya kujitawala? Afadhali warudi watutawale tena ili tuendelee
 
Tumechoka tumechoka!!!!! Inahitajika nguvu ya umma kuikomboa nchi yetu wanatudanganya eti nchi yetu ina amani amani iko wapi watu wanakufa kutokana na huduma duni za afya,njaa na mambo mengine mengi ni vema tukapoteza hata watu 1000 lakini ukakomboa watu milioni 30,000 na vizazi vijavyo Watanzania tunahitaji mabadiliko tusiogope machafuko kwani wenzetu Wakenya ilikuwaje na sasa wako wapi? Viongozi wetu hawaangalii future wanagawana jasho la wananchi inaniuma sana lakini ipo siku MUNGU ATAJIBU kwani kila kazi inamshahara wake.
 
Back
Top Bottom