Peoples Power - Mtoto wa mwaka na nusu

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
Leo ,dogo hapa home kaniacha mdomo wazi,
nafika anasema PIPOZ PAWA, ana umri wa mwaka 1 na nusu tu
anasoma vidudu/day care, nahisi mwalimu wao anawafundisha itikadi za chadema.

hii imenikumbusha miaka ya enzi zetu za chipukizi.
 
Back
Top Bottom