People now days

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
People now days
 

Attachments

  • KAZI KWELI.jpg
    KAZI KWELI.jpg
    36.4 KB · Views: 107
Utandawazi(every thing is a commodity).Hata mimi siku nitakaposhuhudia majambazi yanajipanga kumvamia KakaNanii kitakachokuja akilini mwangu ni kuandaa simu yangu na kurekodi tukio ili nikauze ITV na kwa Shigongo,habari ya kuita polisi itafuata baadaye labda.Hata jabari la muziki Marijani Rajabu aliwahi kuimba utu umekwisha umebakia unyama..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom