Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,623
.Mimi ni Mkatoliki lakini tangu karipio la Askofu Gwajima litoke Askofu wangu Pengo sitokaa nimwamini tena ndo basi yaani!
pengo ameonyesha udhaifu ule ule uliofanywa na makasisi wa Rwanda kwa ku-side upande wa watawala fisadi badala ya kuwa sauti ya voice less yaani wasio na wa kuwaseme.
hivi ingekuwa je kana Bwana wetu Yesu Kristo angeshikamana na watawaka na kuwaacha wonyonge wote waluosetwa?. oooh naabudu chini ya miguu ya nwenye haki Yesu. na nwanadamu abaki kuwa mwanadamu tuu. ameonyesha usaliti wa maskini wasio na mtetezi dhidi ya mamlaka dhakimu.
.