Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

Hili jeshi la polisi la Mwema limegeuka kuwa genge la waporaji mali za wananchi, wabambika kesi za uongo, wanaoshirikiana na wauaji wa raia wasio hatia, wanaokula njama za kutunga uongo dhidi ya mengine yaani ni kundi ovu kuliko kundi jingine nchini. Na kwa kuwa limegeuka chama cha siasa kinachomiliki maghala ya silaha wananchi hatulihitaji tena na ni adui wetu namba moja.
Limefikia hapo lilipo kwa sababu ya ulegevu wa serikali iliyopo madarakani yenye wazo la kufikiri kuwa uimara wake utajengwa na mabavu ya jeshi hilo hilo.
.
 
No, its too early to accused them on it , they awere of their responsibility to maintain peace and order in this country,
coming to the issue of prevent killing, its not the duty of Police only its my duty,your duty and our duty, Therefore every one has the responsibility of maintain peace and prevent the killing.

The issue is still under investigation of Police, is not easily to disclose to the public all about it.
 
Kardinal Pengo anaongea na jinga panda farasi na mikokoteni au bembea za majuu wala halina habari na maisha au uhai wa watanzania. Nchi inauzwa mchana kweupe wanalidanganya linafuata tu upepo wala halijui kama ni asubuhi au jioni. Juhudu zote zimeelekezwa kwenye kutafuta njia ni kwa jinsi gani CDM itakomeshwa kuwasumbua wazee watu wazima na mavitumbua yao. Tutauawa sana hadi ifike hiyo 2015 ila Mungu ana nguvu kuliko ibilisi. Tumwombe na kumtumainia kwa nguvu zetu zote atuondolee kadhia na huu ujinga uliokithiri Tanzania kwa sasa.
 
sijawahi kukubaliana na pengo hata siku moja ila leo kwa mara ya kwanza nasema yes. kwenye red hapo ameongea point. watanzania tujua amani ya nchi yetu ipo mikononi kwa dini hizi mbili. wala sio ccm, chadema au cuf inayoweza kuleta amani. ni ukweli uliodhahiri kuwa hata uhai wa chadema kwa asilimia kubwa unategemea ukristo vile vile kwa cuf kinyume chake.
hatutaki bakwata peke yao wala wakatoliki peke yao. bali taasisi zote zihusishwe na sio kundi la watu bali watu wachache wenye uelewa. wajadili mambo kwa kuangalia kizazi cha leo na kijacho. kusiwepo na seggregation ila kila mwenye wazo ato akiwemo shekh Ilunga, atoe dukuduku zake zote hapo ili zipatiwe suluhisho, na baada ya hao kauli kama zake zifikie mwisho.
binafsi naona kama vile hili wazo limechelewa. lilitakiwa liwepi miaka 30 iliyopita. tumeona mengi ya mwembechai, zenji, buseresere na kwingeneko basi liwe funzo kwetu.
WELL SAID ASKOFU PENGO.
mawazo mazuri sana ya Pengo serikali iyafanyie kazi haraka kabla hayajapoa,tena kama kutakuwa na kongamano liwe LIVE hata kama litachukuwa mwezi mzima maana huu ndio utakuwa mwisho wa fitina zetu
 
Jakaya Kashindwa kukamata wauaji kwa sababu ya 'uislam' wake ndo maana hiyo kazi kakabidhi wakristo wenzenu FBI na M16, nao washatoa picha ya muuaji saidieni kuwakamata badala ya kuendelea kuchonga, siku hizi hupati Headline ya magazeti bila ya kumponda Jakaya peleken lawama FBI!
 
I think Cardinal Pengo is devoid of the fact that this government is a self imposed one, That being the case it has no obligation to protect the people. The Bulldog behavior being displayed by this self imposed "government" is a result of stolen election. After all it does not deserve to be called the government rather a regime.
 
sijawahi kukubaliana na pengo hata siku moja ila leo kwa mara ya kwanza nasema yes. kwenye red hapo ameongea point. watanzania tujua amani ya nchi yetu ipo mikononi kwa dini hizi mbili. wala sio ccm, chadema au cuf inayoweza kuleta amani. ni ukweli uliodhahiri kuwa hata uhai wa chadema kwa asilimia kubwa unategemea ukristo vile vile kwa cuf kinyume chake.
hatutaki bakwata peke yao wala wakatoliki peke yao. bali taasisi zote zihusishwe na sio kundi la watu bali watu wachache wenye uelewa. wajadili mambo kwa kuangalia kizazi cha leo na kijacho. kusiwepo na seggregation ila kila mwenye wazo ato akiwemo shekh Ilunga, atoe dukuduku zake zote hapo ili zipatiwe suluhisho, na baada ya hao kauli kama zake zifikie mwisho.
binafsi naona kama vile hili wazo limechelewa. lilitakiwa liwepi miaka 30 iliyopita. tumeona mengi ya mwembechai, zenji, buseresere na kwingeneko basi liwe funzo kwetu.
WELL SAID ASKOFU PENGO.

Tunapozungumzia masuala mazito yanayohusu amani ya nchi watu wengi hukimbilia kuangalia dini kubwa kwangu mimi ninamtizamo tofauti na huo wako ila ninachokiona Pengo amesisitiza kwamba uwepo utawala wa sheria ambao utatoa haki bila kupendelea dini maana wananchi wanazo dini zao lakini nchi haiongozwi na dini nukuu hotuba za baba wa taifa
 
Police haven't failed. It's too early to accuse them of that.

Too narrow to so recommend......!!! Nothing can change ongoing belief that the Police Force is politically motivated, with vivid examples that when Barlow was brutally gunned, the gunmen were hunted down immediately....why not hunting people who brutalized Dr. ulimboka, Kibanda, killers of Mwangosi, Pr. Mushi and many other innocent people....???


Shame on you fake and stupid human being RADHIA SWEETY...!!
 
What you dont know, like a dark night, Waliohubiri kuwauwa mapadre, wakatengeneza kanda, hadi wakatangaza kwenye mitandao ya u tube hawakuwahi kukamatwa, ya Wilfred imewekwa siku moja tu kwenye mtandao na akakamatwa, Usitumie kichwa kufuga nywele bibie.

Police are part and parcel of this if and only if they are failing to Reveal the Truth!
 
Haiwezekani kuweka wazi kila kitu wakati unapochunguza jambo, kwa maana wapo unaowachunguzwa wanakuwa watamani kujua wanachunguzwa vipi ili nao waweze kujipanga, ipo siku tutapata majibu tu
 
No, its too early to accused them on it , they awere of their responsibility to maintain peace and order in this country,
coming to the issue of prevent killing, its not the duty of Police only its my duty,your duty and our duty, Therefore every one has the responsibility of maintain peace and prevent the killing.

The issue is still under investigation of Police, is not easily to disclose to the public all about it.

you're out of your mind. Indeed, it is too early to say that the Police have failed,,,,,what a damn and failed comment....do you ever recall what happened to killers of Bw. Barlow, or do you notice any difference when the victims of all murders, or threats of killings so to say, are government or party (CCM) officials....what kind of fast and immediate measures and matamko are taken by the Police?
 
Ukweli ni kuwa Kikwete na serikali yake wameshindwa kuongoza taifa hili.
 
Tatizo hapa ni kuwa walitegemea Polisi wawe wameshafanya yale ya Mwembechai, si kuwa Pengo anaijali jamii, la! kuna kesi ngapi za mauaji ambazo hazipatiwa ufumbuzi mpaka sasa?
Police failing in their duty, says Pengo
Wednesday, 27 March 2013 21:57
Cardinal Pengo called for the need to have an open dialogue between the Muslim and Christian communities, and take measures to prevent further incidents.
Kama kweli Pengo ana nia ya dhati basi wakati huu angekuwa anatuambia kuwa ameishafanya juhudi hizi na zile ili wakutane na viongozi wa Waislamu badala ya kuja na kijitamko kama hiki.

Au pia anailaumu serikali kwa kutotayarisha dialogue kati ya Wakristo na Waislamu?
 
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelitupia lawama Jeshi la Polisi kwa kile alichosema kwamba limeshindwa kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia.

Kadhalika kiongozi huyo alihoji ulipofikia upepelezi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Zanzibar aliyepigwa risasi mwezi uliopita huku akisema, "Siwezi kusema naridhika au siridhiki lakini tulitegema kwamba polisi wangetegua kitendawili cha wauaji wa padri huyo."

Kardinali Pengo alisema Serikali haipaswi kusema wanaovuruga amani ni wahuni wakati hilo ni jukumu lake kuhakikisha inadumisha amani. Pengo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wakati akitoa salamu za Pasaka.

"Watu wanaharibiwa mali zao, watu wanapoteza uhai wao, Serikali haiwezi kukaa pembeni na kufikiri ni kauli za viongozi wa dini peke yao, viongozi wa dini hawana jeshi au hawawezi kukamata watu, Serikali ndiyo wana jukumu hilo kuhakikisha wanaingilia kati," alisema Pengo na kuongeza:"Wengine wanasema si mapambano ya dini ya Kikristu na Waislamu ila ni wahuni wachache wanajichukulia madaraka, lakini lolote liwavyo Serikali haiwezi kukwepa majukumu yake, hatuwezi kutegemea nchi itawaliwe na wahuni kama vile Serikali haipo."

Kuhusu Padri Mushi aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akijiandaa kwenda kwenye misa huko Zanzibar, Pengo alisema:

"Watanzania tungeambiwa zimechukuliwa hatua zipi na aliyehusika na mauaji hayo ni nani, lakini hali inayoonekana sasa hatujui."
Aliongeza: "Siyo mimi wala Askofu wa Zanzibar (Augostino Shao) au askofu yeyote anaweza kukwambia kuwa kuna mtu amekamatwa, ila inaonekana kama mambo yanataka kuisha kimyakimya na kufanya hivyo haiwezi kuwa chimbuko la amani."

Kardinali Pengo alisema vyombo vya kulinda amani vinapokuwa chimbuko la kuharibu amani kwa vyovyote nchi yoyote duniani haiwezi kuendelea. Alisema kunahitajika kukutanishwa kwa pande zote mbili za Wakristu na Waislamu, lakini akatoa angalizo kwa kubainisha mambo mawili ambayo yanahitajika kuzingatiwa ili kufikia mwafaka.

Alisema pande zote mbili watu wakitaka kujadiliana ni lazima kila upande uwe tayari kujadiliana na kupokea ukweli sambamba na kusema ukweli na siyo kupotosha ukweli kwa masilahi binafsi.

"Pili kila upande uwe na mawazo kwamba upande wa pili una nia njema, lazima watu wawe tayari kuwasiliana kuwa upande wa pili una nia njema, lakini kinyume na hapo itakuwa bure na kudanganyana na mambo yataendelea kuwa mabaya zaidi," alisema Kardinali Pengo.

Kuhusu kuwapo kwa taarifa kwamba katika mkesha wa Pasaka kuna watu watafanya vurugu, alisema haogopi kwani vyombo vya usalama vina jukumu la kuhakikisha raia wanakuwa salama."Mimi kazi yangu si kujiandaa kushika bunduki kwani Serikali wana jukumu la kulinda amani iwe kanisani au msikitini.

"Wanatakiwa kuchukulia mazungumzo hayo ‘serious' (makini) kwani baada ya Padri Ambrose kujeruhiwa kwa risasi walisema wataendelea na kweli ikatokea Padri Mushi akauawa. Mimi sitaacha kwenda kanisani hata kama nitaambiwa nitauawa na kama kufa nife katika kanisa langu," alisema.

Polisi wanena
Msemaji Mkuu wa Polisi, Advera Senso alisema upelelezi wa tukio la kifo cha Padri Mushi unaedelea na kuwaomba wananchi kusubiri kujua kinachoendelea.

"Kunapotokea tukio la aina yoyote lile polisi ndiyo jukumu lao kujua chanzo na hatua za kuchukua. Tunaomba watu tuwaachie wanaohusika ili kuweza kufanya kazi hiyo vizuri na tutawaeleza kinachoendelea upelelezi utakapokamilika," alisema Senso.

Kuhusu uvumi wa matukio ya uhalifu wakati wa Pasaka, Senso alisema wanafuatilia taarifa hizo.

"Tunawaomba wananchi ambao wanajua ni kina nani wanaeneza taarifa hizo, watupe ushirikiano ili tuwachukulie hatua kutokana na kutoa taarifa za kuhatarisha usalama wa wananchi," alisema Senso.

Pia Novemba mwaka jana, Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Fadhili Soraga alimwagiwa Tindikali na watu wasiojulika wakati akifanya mazoezi kwenye Viwanja vya Mwanakwerekwe.

Mapema mwezi ulipita, Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Assemblies of God (TAG) mkoani Geita, Mathayo Kachila aliuawa katika ugomvi wa kugombea kuchinja, katika tukio ambalo watu sita walijeruhiwa vibaya kwa mapanga.


Source:Gazeti la Mwananchi.
 
No, its too early to accused them on it , they awere of their responsibility to maintain peace and order in this country,
coming to the issue of prevent killing, its not the duty of Police only its my duty,your duty and our duty, Therefore every one has the responsibility of maintain peace and prevent the killing.

The issue is still under investigation of Police, is not easily to disclose to the public all about it.
(on the red) I am not sure if you are part and parcel of the tanzanian citizen and if so you are part of the failed structure i.e police. You can not be serious! serial killings are continuing and some involving the ones you defended to "know their responsibility".
(On the blue) I agree with you that it is the duty of all! however the main stakeholders are the ones I and all tz citizens are paying them salaries just for the job. They are failures in that aspect.
(On the green)Just tell me how many feedbacks have you ever had from the police on the so called "investigation" other than arresting an insane person during Ulimbokas saga? Crazy thinking and ideas eh!
 
"Kuhusu Padri Mushi aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akijiandaa kwenda kwenye misa huko Zanzibar, Pengo alisema:
"Watanzania tungeambiwa zimechukuliwa hatua zipi na aliyehusika na mauaji hayo ni nani, lakini hali inayoonekana sasa hatujui."
Aliongeza: "Siyo mimi wala Askofu wa Zanzibar (Augostino Shao) au askofu yeyote anaweza kukwambia kuwa kuna mtu amekamatwa, ila inaonekana kama mambo yanataka kuisha kimyakimya na kufanya hivyo haiwezi kuwa chimbuko la amani."


HAPA NDIO KABALI INATAKIWA KUONGEZWA WAMESHAZOEA KUACHA VITU VIPITE ILI WAANDELEE NA KAUTARATIBU KAO KAKUNG'OA WATU KUCHA NA MENO BILA GANZI AWAMU YA NNE TANZANIA CCM.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Police haven't failed. It's too early to accuse them of that.

Dada, Cadinali kasema ukweli mtu, ametumia suala la mauaji ya Fr Mushi kufikisha ujumbe kwa kuwa ni mtume mwenzake kwa kuwa angezungumzia kuhusu Sheik Soraga ungesemaje? Kuna Dr Ulimboka na mengi yasiyovifikia vyombo vya habari lkn WaTz tunajua na tunawashangaa Polisi na Serikali.
Ni kama vile kuna magenge ya kihalifu yenye uwezo wa kufanya jambo lolote bila dola kuchukua hatua.
 
mbona Pengo anawakaba koo sana polisi? amejuaje kama wamwshindwa kazi/ kila idara ina utaratibu na kanuni zake za kufanya kazi, swala la mauaji ya viongozi wa dini yanafanyiwa uchunguzi wote tunasubiri ripot kamili kutoka jeshi la polisi. sasa kusema yeye wala askofu wa Zanzibar hawana taarifa za upelelezi si sawa kabisa manake ripoti itatoba kwa watanzania wote na si kwao tu viongozi peke yao.

Na hii si mara ya kwanza kwa Pengo kuhoji utendaji wa jeshi la polisi me nadhani kuna kitu anakijua na anaona polisi hawajaanza kukifatilia au kukichunguza sas naona atumie tu dhana ya polisi jamii na kutoa taarifa zake kwa vyombo husika ili zifanyiwe kazi. na hii inatokana na ujumbe unaosambaa takribani wiki sasa ukihusisha vitendo vya ugaidi kipindi hichi cha pasaka ujumbe unaosemekana umetoka kwenye taasisi ya kidini jimbo kuu katoliki sasa haya mambo yawekwe wazi tu kwamba origin ya huo ujumbe ni wapi na una ukweli gan basi na si kutupa lawama kwa jeshi la polisi kwamba limeshindwa kazi.
 
A point of correction: PENGO IS IN NO WAY THE HEAD OF THE CATHOLIC CHURCH IN TANZANIA. Canon law does not stipulate that a person becomes the head of the church in a particular country by being created a CARDINAL.

We have HEADS of local churches (BISHOPS OF PARTICULAR DIOCESES) and the church's spokesperson in Tanzania who is THE PRESIDENT of Tanzania Episcopal Conference. Presently is Rt Rev Tarcisius Ngalalekumtwa the Bishop of the Catholic Diocese of Iringa.

Be well versed before you write awkwardly!

Sasa hapo ndio umechangia hoja ya Kadinali Pengo!
Watu wengine mnashangaza sana, hapa tunazungumzia hoja ya Kadinali Pengo ktk salamu zake kwa waumini wake na Watanzania kama Mchungaji na Kiongozi wa Wakatoliki, wewe unatuletea habari za canon law na TEC!
Hizo habari za Canon law na TEC wapelekee Watheolojia na Maaskofu kule TEC, sisi tunajadili hoja ya Polisi kufuga uhalifu.
 
Back
Top Bottom