Pendekezoluis moreno ocampo njoo tanzania utuokoe

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Binafsi kutokana na hali ya ukiukwaji haki za binadamu na udhalimu unaoendelezwa hapa nchini kwetu napendekeza ocampo wa mahakama ya uhalifu wa kivita na haki za binadamu aje tanzania ili apambane na maovu haya kama ya polisi kuua raia,ufisadi nk.pendekeza nani amulikwe kwa kosa lipi? Ili tupate mwangaza zaidi pa kuanzia
 
Mkuu hujasikia Moreno Ocampo anapigiwa upatu kwenda kupambana na ufisadi FIFA? Muda wake wa kuwa ICC umeisha.Sasa hivi kuna mama Mgambia
 
Binafsi kutokana na hali ya ukiukwaji haki za binadamu na udhalimu unaoendelezwa hapa nchini kwetu napendekeza ocampo wa mahakama ya uhalifu wa kivita na haki za binadamu aje tanzania ili apambane na maovu haya kama ya polisi kuua raia,ufisadi nk.pendekeza nani amulikwe kwa kosa lipi? Ili tupate mwangaza zaidi pa kuanzia

Tufikirie namna ya kujitoa ICC, sio tena kuwaalika wanyonyaji kuja hapa!
Unadhani atapinga askari kuua watu wanaotaka kuingilia economic targets zao?
Kwanini tuamini wapuuzi hawa? Na kwanini tujidharau, na kutaka kila kitu tufanyiwe? Ocampo ni nani kwetu, mnafiki na mwizi mkubwa! Kama tusipofikiria kuweka mambo sawa wenyewe, basi ni bora tufe! TUNAWEZA! Nguvu yetu ni UMOJA na KUTHUBUTU!
Mungu wetu anaita!
 
Kama Kenya aliwakamata 6 tu,
Nina uhakika bongo atakamata zaidi ya 60,000!!!

My imagination is that akija hapa Bongo, kwa serikali iliyoko madarakani, level ya mawaziri, manaibu ma makatibu, karibia 50 watakua wahanga wake!!

Mawaziri, manaibu, makatibu na Wakurugenzi waliopita (Ngeleja & Maige type), karibia 20 hawatasalimika!!

Wale wa zamani (Mzindakaya, Idd Simba, Grey Mgonja, Mramba type), zaidi ya 50 watalambwa na huyu jamaa kama hua anahusikaga na rushwa! pia.

Tukija kwenye level ya mapolisi wale waliopewa somo na Samson Mwigamba, hata 10,000 wanaweza kusombwa na huyu Ocampo kama akirudia kile kiti akaja bongo.

Haiishii hapo tu, watangazaji wa Radio dizaini ya kina Kibonde, TBC & Radio Uhuru wote hawataachwa hata kidogo.

Tuje kwenye watu wa kawaida, wale karibia wote pale Jangwani kesho Ocampo hatawaacha asilani.
 
Daah! Umeichambua vizuri mkuu tuendelee kupigania mabadiliko na kusimamia haki

I DONT SUPPORT

TUTASOTI ISSUES ZETU WENYEWE, ACHA KUSHOBOKEA WAZUNGU

KAMA OCAMPO NI WA MAANA ANGEANZA NA BUSH... tuache kujidhalilisha, we can hadnle changes ourselves
 
Back
Top Bottom