Hivi wewe mwana Takukuru ama kweli unatia aibu. Kweli wewe unajidai kuwa na uchungu halafu unamwaga uchafu wa kwenu kwenye mtandao wa wazi halafu unajiita investigator? Hivi ndivyo ulivyofundishwa na Hosea kuja kuelezea siri za ofisini kwako and you hope utaaminika na kupata sympathy toka kwa sisi tusiohusika.
Hakuna ofisi iyokuwa na makundi na kama huamini hilo wewe ni mwongo kwa vile kutokana na usemi wako inaonekana huyo bosi wenu aliyeoondoka wewe ulikuwa kwenye kundi lake na sasa kaja farao asiyemjua Yusufu tumbo lako moto. Hili waulize wanamtandao wa CCM watukupa laivu yaliyowafika Dodoma! Pole ndungu yangu kila shetani na mbuyu wake
Naona wewe ni mtu ambaye huyo bosi wako amekuweka pabaya na huenda mategemeo yako na hao wakurugenzi wengine yalikuwa ni kupanda lakini Muungwana Jk kawapiga chenga ya mwili. Ulikuwa na mategemeo ya kuwa mkuruguzenzi na badala yake umetupwa sijui wilaya gani au sijui ukaamua kwenda kupata degree nyingine .. unajua tena mambo yasipo kunyokea basi wengine woote hawajui kitu.
Mara nyingi mtu amabaye ana facts huwa ndiye wa kwanza kusema haya:
Tumechoka na majigamgo yako sasa tunataka kazi. Tunataka ukweli juu ya nini kinakwamisha kazi zisifanyike mikoani. Kwani hatuletewi fedha?
Usipobadilika na kuanza kujali kazi na kuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za serikali tutalazimika kufanya yafuatayo;
a) Tutayaanika katika vyombo vya habari kwani ushahidi wote tunao ili jamii ijue nini hasa kinaendelea ndani ya chombo.
b) Tutayasambaza katika tovuti ili kila aliye ndani na nje apate kuyasoma na kuyaelewa kwa nafasi.
Inanikumbusha hadithi ya jamaa mmoja aliyekuwa anazabwa vibao na mkewe akaamua kwenda kumpakazia kwa rafiki zake kuwa mkewe hajui kutawaza na huwa ananuka mkojo, wakamuuliza hivi mkeo wa ndoa au nyumba ndogo, akajibu mke wangu wa ndoa; wakamwuuliza unaishi naye, akajibu ndiyo; wakamwuuliza, je umemwambia hayo, akajibu mke wangu mjeuri; wakambana zaidi ni mjeuri au hajui kutawaza, akajibu ninyi hammjui mke wangu mimi ndiye namjua; wakamuuliza sasa unataka tukusaidie vipi? Huyu bwana akasema haya " Na leo asiponifungulia mlango nitatoa siri zake zote". Na ni hapo ndipo rafiki zake wakaduaa na kubaki midomo wazi wakijiuliza hivi huyu kweli mkewe na kama ni kweli je haya anayotueleza yametoka akilini au pombe?
Wewe niya yako ni kumwaga matatizo yako kwa watu wasio husika, you are actually barking at the wrong tree! Wanaofanya mambo wala hata siku moja hutawasikia wakibwata mambo yao humu ndani utasikia tu mambo yanafanyika.
La mwisho ni kuwa kwa vile haya uliyoyaandika ni personal attack on a public forum kwa bosi wako, wewe unampa bosi wako sababu tosha za kukushugulikia kinidhamu na ingekuwa mimi I would fire you immediately. Kama mwana usalam huwezi kuandika document kama hii on a public forum na ukajidai wewe umeelemika na umebobea mambo ya investigation au mwalimu wako ni Hosea huyo huyo!
Umeitia aibu aibu ofisi yako na ningekuona wa maana kama unge tumia njia za kiofisi na hizo nakala ambozo unadai umezituma Ikulu usingetuambia JF, au umetumwa - nanukuu msemo wa Hosea uliokuchoma kule Marangu.
Soma salama na wasalime jamaa zako mbezi beach!
MENOSUGU