FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,194
- 40,900
Kwamba kuna mtu alitegemea akiri? Seriously?Kufuatia tuhuma zinazoenea mitandaoni zikimuhusisha mh Gekui na kijana Hashim, mbunge huyo wa Babati amekana tuhuma zote
Katibu wa mbunge amesema.mh Gekui anachafuliwa kwa sababu za Kushiriki a, Kisiasa na Ushindani wa Biashara
Source: Mwananchi online