Paul Mashauri presentation nzuri lakini...

NgomaNgumu

Senior Member
Nov 20, 2010
194
24
Inafurahisha kuona kijana kama Paul Mashauri Rais wa East Africa speakers Bureau jinsi alivyoweza kulielewa tatizo la nchi yetu. Amefafanua kwa kina majukumu ya kila asasi ktk kumundaa mTanzania na binadam kwa ujumla ili awe mfanya kazi mzuri. Amesisitiza sana kudeliver, accountability na mengineyo.

Ispokua kitendo cha kukumbushwa kua muda wake wa presentation umemalizika kidogo kimetia dosari. Kwa hali yoyote anafaa kuhamasishwa na kusaidiwa ili awe kiongozi bora.
 
Hazina kama hizo zikitumiwa vibaya na watawala..zinakuwa butu mpaka hazifai hata kwa ushauri hasa zikizeeka..
 
Inafurahisha kuona kijana kama Paul Mashauri Rais wa East Africa speakers Bureau jinsi alivyoweza kulielewa tatizo la nchi yetu. Amefafanua kwa kina majukumu ya kila asasi ktk kumundaa mTanzania na binadam kwa ujumla ili awe mfanya kazi mzuri. Amesisitiza sana kudeliver, accountability na mengineyo.

Ispokua kitendo cha kukumbushwa kua muda wake wa presentation umemalizika kidogo kimetia dosari. Kwa hali yoyote anafaa kuhamasishwa na kusaidiwa ili awe kiongozi bora.

nimuongeaji mzuri ila utekelezaji zero
kuna kipindi alipewa contract na Zain ya data entry
ali tuajiri vijana wengi sana tulipiga kazi ila malipo ndo ilikua ngumu
 
Vijana wa Kitanzania wanajua kuona na kutoa mapungufu. Subiri waje hapa waanze kuporomosha mapungufu. Binafsi namfahamu na ninamkubali sana Paul. Ninamwona kama the next R. Mengi
 
Huyu jamaa ni mkali. nimependa alivyo coherent! Ni kweli ana miaka 30 tu? He has certainly achieved a lot!
 
Jamaa hata na mie namkubali sana ni kijana mwenye malengo na mafanikia sana changamoto na mfano wa kuigwa kwa vijana tegemezi wa ajaira Tanzania

2.jpg
 
  • Thanks
Reactions: bht
watamfrustrate siku si nyingi, akijaribu siasa tu ajue ndo amekwisha. Big up paul.
 
Back
Top Bottom