Paul Kagame: Ukiona wenye mali wanageuka kuwa ombaomba ujue akili zao haziko sawa

If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Ukweli mchungu ambao wazalendo uchwara, machawa wa kusifiasifia watachukizwa na kauli ya kagame.
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Kumbuka Rwanda ilikuwa failed state.
 
Ukitaka uchukiwe kuwa mkweli!
 
Kaongea ukweli.
 
Una almas, dhahabu, bahari, ziwa Vic, Tang'ka, Nyasa, M'nyara,Eyasi, Natron n.k, mbuga za wanyama, misitu, gesi asilia, makaa ya mawe, mito mikubwa, ardhi yenye rutuba n.k halafu bado bibi Kizimkazi anazunguka kiguu na njia hadi kwa Waarabu walioko jangwani kuombaomba msaada. Shame on you!
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame

My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19

Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆

View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19

Kidomi domile, ndiyo maana Kikwete alimkong'oli Goma.
 
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Sioni kama ni chuki, naona ni ukweli tu umekuuma. Hii nchi rasilimali tulizonazo ni nyingi mno- madini kila aina, vivutio vya utalii, ardhi nzuri, misitu, hali ya hewa nzuri, bandari kwny maziwa na bahati, etc. Vyote hivyo vinafisadiwa na wanaccm tangu tupate uhuru mpaka Leo.
 
Ukiangalia accomplishments za dikteta Kagame tangia kuitoa hiyo nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na mpaka kuifikisha hapo , nchi ndogo isiyo na resources na ukaangalia hawa mbwa koko wanaoitwa ccm walichofanya tangia uhuru kwa nchi kubwa hii yenye kila resources ,hali ya hewa , ukubwa , amani na kila sababu ya kuifanya kuwa moja kati ya nchi zenye uchumi mkubwa na maisha bora kwa raia wake lazima umuelewe Kagame
Kagame na ubabe wake ila achievements zake ni steps ahead ya Hawa fisi na bandits wanaotafuna hii nchi miaka 60+ sasa hivi
 
Kaongea Kweli tupu,

Ingawa amesahau kuwa Natural resources zilizo ardhini haziliwi kama chakula, yanahitajika Maarifa, pesa nk nk kugeuza natural resources kuwa pesa na utajiri unaoshikika.

Mfano mdogo tu, Rwanda, ilihitaji kushirikiana na mabepari wenye pesa na silaha na utaalamu, kuiba Mali za congo Ili kuwa hapo waliopo.
 
Hapo ni kupambana na kumuonyesha tunaweza ingawa kuomba limekuwa kwenye damu ya wengi sana kuanzia wananchi wa kawaida mpaka mataifa mengi masikini
Yaani mtu kila akikuona naomba buku
Ukienda maofisini rushwa maana hiyo nayo ni ombaomba
Viongozi wakienda nje ni kuomba tu
Acha tupewe za uso
 
Back
Top Bottom