calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 273
Mkuu kutosuport ile misheni ya 1999 ilikua ni smart move....mikono yetu ingekua michafu sana kwani ni vita iliyokula maisha zaidi ya milioni 5 ya wakongo!! Professor Wamba Dia Wamba anajua vizuri madhara ya ile vita na ndio maana amekua kimya Tangu wakati huo!Moshe Dayan,
..umesahau Bin Laden alivyowatenda USA??
..kuna wengine wanabisha, lakini ukweli utabaki kwamba tulikosea kutoku-support ile mission ya SADC ya 1999.
..tungesimama upande wa Zimbabwe, Angola, na Namibia, wakati ule, hali isingekuwa mbaya kiasi hiki Congo.
..wacha JK na Zuma warekebishe makosa ya Mkapa na Mandela/Mbeki.
cc Ogah, Jasusi, Nguruvi3
Wewe acha unafiki wakijinga wewe mtusi unajifanya et uhusika wetu kwenda kigali ukaonje jotonya jiwe huko. Tanzania ni nchi iliyokuwa na mkakati wa ukombozi wa bara la Africa ndomana sehemkubwa ya Africa walisaidiwa kimafunzo na kijeshi ilinkuzikomboa nchi na sio ukoloni mambonleo kama hujui hilo
to where?
lete file lake la TISS
kwa maamlaka ya nani mnatoa siri za nchi nyie watu.some of us we heard not knew, but our mouths were shut.hebu tunzeni siri za nchi nyie watu.
kid, this topic is not suitable for you, go watch your cartoons
Mkuu hizi ni ''classified information'' not for public consumption
usiogope, everything is under control
kibavu,Mkuu kutosuport ile misheni ya 1999 ilikua ni smart move....mikono yetu ingekua michafu sana kwani ni vita iliyokula maisha zaidi ya milioni 5 ya wakongo!! Professor Wamba Dia Wamba anajua vizuri madhara ya ile vita na ndio maana amekua kimya Tangu wakati huo!
Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.
Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.
Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.
Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...[don't look at the current problems, LOOK AT THE ROOT CAUSE THE PROBLEM]
D
Patriotic my azz,ukiulizwa unataka kupigana kwa sababu gani jibu ni...??mnaonyesha mlivyo malofa tuu bora make kimya na comedy zenu.It shows how patriotic we are.
our spirit for war is high and good to go,anytime anywhere.yaani mi mwenyewe hapa damu inanichemka haki ya mungu.cc watz wabaya cc.
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
Hizi story za Kagame kuvamia Congo umezitoa wapi? naona umeamua kaundika chochote ant PK maana umegundua wengi humu hawana idea na wanachoandika au kusoma kuhusu Rwanda...
..Sasa hivi Kagame yuko kwenye position aliyokuwa nayo Mugabe in 1999. Wamarekani na UN hawamuungi mkono ktk uvamizi wake DRC.
..Kagame asipokuwa makini anaweza kuwekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi, ikitokea hivyo hataweza kupigana vita ya muda mrefu.
Acha comedy wewe,kagame kakulia Uganda maisha yake yote.Mkuu watu wanamfahamu Kagame. Huyu ni kijana wa Tanzania lakini ni jeuri. Amewahi kuwa pia jeuri kwa Museveni. Wakati wa vita ya msituni alikuwa aki recruit wanyarwanda pale Mwanza.
Walimuheshimu Nyerere (R.I.P) kwa kuwa alikuwa anajiheshimu, anaipenda nchi yake na watu wake pia alikuwa anakisimamia kile anachokiamini na habadiriki na ndio maana Dunia inamkumbuka hadi sasa lakini hawa waliopo hata wakifa kumbukumbu itabaki kwa familia zao tu.
Museveni, Joseph Kabila (incumbent), Kagame tuliwaandaa wamkomboe dhidi ya ukoloni upi?
Silaha za vita toka Ulaya kushushwa Mwanza lengo ni lipi?