Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
765
194
Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame amesha wahi kushika wadhifa wa juu ndani ya jeshi la Uganda (senior Ugandan Army Officer). Amepigana vita kwenye kundi la uasi lililo muweka madarakani Rais Yoweri Museveni wa Uganda. KAGAME alikaa muda mrefu nchini Uganda kama Mkimbizi. Elimu ya Msingi aliipatia nchini Uganda katika shule iitwayo (Rwengoro Primary School). Haikuishia hapo hata elimu ya Sekondari ameipatia nchini Uganda katika shule iitwayo(Ntare school) lakini alikuja kumalizia masomo yake ya sekondari katika shule iitwayo Old Kampala secondary School.
Kagame na baadhi ya wakimbizi wa Rwanda walishaweka ahadi ya kuwa watiifu kwa Rais Yoweri Museven wa Uganda mara baada ya vita ya Kumng'oa Idd Amin.
(SOURCE:http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...poCYDw&usg=AFQjCNG1sUfkB0QEmRPkmbx8qzas63Uj-g)
Kwahiyo naomba kuwahoji Wanyarwanda maswali yafuatayo:
1.Huwezi kuwa afisa wa Jeshi la nchi husika bila kuwa na uraia wa nchi hyo. Je Rais wenu amesha ukana uraia wa Uganda.?
2. Raisi wenu alisha ahidi kuwa mtiifu kwa Rais Museveni. Je makubaliano hayo ya Utii mnayajua au ni bendera fuata upepo?
KWA LEO NAOMBA NIISHIE HAPA NITAKUJA NA UKWELI MWINGINE SIKU NYINGINE.
 
Swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? unaweka hapa wasifi wa Kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa Kagame? Nenda Kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya JK, utajibu? acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na Rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. bastard

Mafunzo yote ya kijeshi Kagame na Museveni wameyapatia Tanzania hususan ya kiafisa Monduli. Vipi ni mamluki wenu wanawageuka?
 
Swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? unaweka hapa wasifi wa Kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa Kagame? Nenda Kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya JK, utajibu? acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na Rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. bastard

Kwa taarifa yako kama hujui Paul Kagame ni member wa JF na huwa anavinjari humu
 
Swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? unaweka hapa wasifi wa Kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa Kagame? Nenda Kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya JK, utajibu? acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na Rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. bastard

Risasi na makombora yameanza kurushwa
 
Kwa hili la kagame mimi nipo upande wa rais wa nchi yangu kikwete,mikono ya kagame imejaa damu za raia wa kongo kwa sbb ya mali.rais wa kongo,rwanda na uganda ni watusi na wameamua kuiharibu congo.nyerere alipigania uhuru wa majirani ili tz iwe salma
 
Swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? unaweka hapa wasifi wa Kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa Kagame? Nenda Kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya JK, utajibu? acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na Rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. bastard

Ngumi ya pua inauma asikwambie mtu hasa kale kamchuzi kekundu kanapotoka........ Huu uzi utasaidia kuwatambua Wanyarwanda walio humu JF hebu check humo kwenye Red...umeshajulikana.
 
swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? Unaweka hapa wasifi wa kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? Alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa kagame? Nenda kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya jk, utajibu? Acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. Bastard
jina lako tu linaonyesha wewe ni muasi wa kitutsi kama kagame hamuwez kujenga tutsi empire maisha msahau hiyo ajenda yenu mliyoifcha kwa kivuli cha poltcal federation...sku za kagame znahesabka yaliyotokea london ni cha mtoto
 
Tuna vita za kiuchumi,ufisadi,elimu,afya,kilimo.Na sio kuchochea na kuongeza moto kwenye moto.Kweli nimeona tumeshiba amani.Alafu hatujawahi kuona vita imeingia ndani na kutapakaa nchi nzima.Tuwe na hekima ya kutuliza na sio kuchochea.kabla ya kutaka vita tambua kuwa sisi ni wangapi duniani kwa umaskini alafu.Tambua nini cha kwanza kufanya .muda unapita wenzetu wanasonga mbele.sisi kama tumelogwa hivi.
 
Swali linaonyesha hujui kufikiria hata kidogo. Mbona unapoteza nguvu za watu kukujibu? unaweka hapa wasifi wa Kagame ili iweje? Si kila mtu anajui hili ulilosema? alafu sasa unawauliza wanyarwanda wao ni wasemaji wa Kagame? Nenda Kigali kamwulize au weka kwenye facebook yake. Ni sawa mtu akuulize mambo ya JK, utajibu? acha chockochoko motto wa kike, kama una munkari wa uhasama na Rwanda jiunge na jeshi la mgambo, vita ikianza, omba kwenda front. bastard

RUTA tuliza hasira lol!!
 
Great Thinkers never behave the way you do!
 
Ngumi ya pua? sasa umepiga ngumi gani? ndo maana nikasema, we ni hanazo.... unajisifia, ngumi, mchuzi sijui wa pua... mbona una mawazo hovyo?
Ngumi ya pua inauma asikwambie mtu hasa kale kamchuzi kekundu kanapotoka........ Huu uzi utasaidia kuwatambua Wanyarwanda walio humu JF hebu check humo kwenye Red...umeshajulikana.
 
London ulishiriki? jamani watu, empire whatever jenga hoja usilete upuuzi
jina lako tu linaonyesha wewe ni muasi wa kitutsi kama kagame hamuwez kujenga tutsi empire maisha msahau hiyo ajenda yenu mliyoifcha kwa kivuli cha poltcal federation...sku za kagame znahesabka yaliyotokea london ni cha mtoto
 
Ngumi ya pua? sasa umepiga ngumi gani? ndo maana nikasema, we ni hanazo.... unajisifia, ngumi, mchuzi sijui wa pua... mbona una mawazo hovyo?

Hapo ngumi ya pua imekupata vizurii,,kamchuzi kameanza kukutoka, utasikia maumivu baadae
 
Kazi raisi sana kui hack email na password ya Kagame! nitaiweka apa ngoja kuanzia leo nianze kazi hiyo unless ajiondoe mapemaaa.... we must group Kagame & Museven together...Hawa wote ni aina moja na tusitegemee Kagame kipindi chake kikiisha aondoke madarakan km Museven unless tukawasaidie Waganda na Wanyarwanda kuwaondoa hawa madikteta....Its time to activate our agents to silently them mazima kwani Kagame kwa sasa amesha activate agents wake wamalize kazi km kwa Kabila Sinior na waliompinga
 
Back
Top Bottom