Robweme
Senior Member
- May 20, 2009
- 178
- 6
Nimeingia huko naona tu PAY. Bei zimeandikwa ila haijulikani ni bei ya Mwezi, wiki, siku, mwaka, karne nk. Ingelikuwa vizuri mkaweka beo yenu vizuri hata zile basic. Kwa wale SAMAKI wakubwa, wao hawaulizi bei.....
Mkuu sikonge, kasome vizuri mimi nimeona bei na kila kitu hata bei za kama unaitaji kujilipia, in fact nimeshawasiliana nao na wamenijibu ingawa sina uhakika kama hizo za bure nitazikuta,make niko safarini hadi Novemba 16.Kasome vizuri hacha haraka zako,tulia kila kitu kipo