Jeji
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,975
- 371
kuna mtu niliwahi kumsikia anasema yeye alipona kwa maziwa na pilipli. eti una chukua maziwa fresh kikombe 1 na pilipili mbuzi 1 iliyo komaa vizuri unaikatia kwenye yale maziwa unachemcha pamoja, then unaacha ipoe kidogo halafu unakunywa. anasema yy alikuwa nazo zilimsumbua sana lkn baada ya dawa hiyo zimeacha kabisa.