Pata simu zifuatazo kwa mikopo kwa masharti nafuu

Maswala yakutuma hela ndio simu ifate ...au inawezekana simu ije pesa ifate mana wabongo hawapo serious na biashara
 
fikiria mara 2 pesa iende simu ifate.....je ukisema simu ije .pesa ifate ...utaona hapo shughuli inaanza ...
 
Ukitaka kula vichwa vingi shusha bei kama 20% uone utakavyo sepa na mtaa,Niko mwanza mjini sema uko wapi ili niuthibitishie umma,la sivyo usitusumbue wa TZ
Mimi nipo Posta hapa aseme alipo niende nikakope simu, halafu nipo full hata akitaka ramani ya Nyumba nitampa
 
Mkuu kama wewe ni mtumiaji wa simu na kama kuna simu utakayohitaji hakika bila ya kuandika specifiacation na aina ya simu utakuwa umeshajua aina ya simu kwa sababu huwezi kukurupuka kununua simu bila kufahamu specification zake Ahsante.
Ina maana umeweka hizo simu kwa watumiaji ambao wanazijua tu? Vp kwa watu wapya watazitambuaje
 
Ujue watu mnashindwa kuwa waelewa nimetoa namba akita kufika anicheki nimuelekeze
Wewe mleta uzi ndyo siyo muelewa kabisa, haupo serious na biashara, ili swali dogo tu la kuelekeza ofisi ilipo hapo Mwanza unalikwepa, unafikiri unajenga hisia gani kwa wateja? We are smart than you jaribu njia nyingine ya uatpeli hii umekwama.
 
Back
Top Bottom