Asante sanaaaaaaaaaaaaaa nimepata nilichohitaji. Endelea hivyo hivyo.To all my learned friends, here is a link where you can download all Tanzanian Legislations for free!
http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm
Usisahau kunibonyezea kudude cha thanks!!
Mkuu,To all my learned friends, here is a link where you can download all Tanzanian Legislations for free!
http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm
Usisahau kunibonyezea kudude cha thanks!!
Tungekubonyezea, lakini hicho kitufe mods wameshakipotezea siku nyingiTo all my learned friends, here is a link where you can download all Tanzanian Legislations for free!
http://www.lexadin.nl/wlg/legis/nofr/oeur/lxwetan.htm
Usisahau kunibonyezea kudude cha thanks!!
kama uko tiari kuzitafsiri/kuvitafsiri vifungu hivyo vya sheria volivyo anzwa kutungwa tangu bunge la jamhuri linaanzishwa hadi mwaka2014 kutoka english to kiswahili sema kwa maana sheria zote zimeandikwa kwa kiingereza na kusha kutafutiwa tafsiri kwa lugha ya kishwahili.Kama unaumuhu nazo ingia johnsalim1994 acha maoni yako hapo na hivyo tutakupatia ufumbuzi
bofya hapa DOWNLOADS ~ SHERIA TANZANIAWadau, nahitaji kufahamu ni wapi (katika mtandao upi) naweza kupata sheria mbalimbali za nchi yetu kwa ukamilifu wake. Mara nyingi kumekuwa na utamaduni wa kunukuu vifungu vya sheria fulani fulani na hii mara nyingine inatunyima fursa ya kuzifahamu sheria hizi kwa ukamilifu wake kimahudhui. nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya bunge - kinachoonekana ni miswada inayotegemewa kusomwa.
We ni lawyer ama??Wakuu, ninatafuta sheria hizi. Ninahitaji hard copy original
*Criminal Procedures Act
*Tanzania Evidence Act
* Penal code
*Civil Procedures Code Act
Wanauzaje kwa kila kimoja?
Kwa sasa nipo Dar