Pata Asali kwa punguzo

ehee kumbe

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
267
155
Waungwana Mimi ni mfuga Nyuki nipo Dodoma. Nimepata dharula ,sina namna nimeamua kuuza Asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya hasara ili nikidhi hitaji lililonisibu.

Asali huwa nauza ndoo ya Lita 20 kwa sh laki mbili.kwa vile Nina shida nimepunguza bei mpaka sh laki moja na nusu kwa ndoo moja.

Ndoo moja ya Lita 20 ukipaki kwenye chupa za kilo moja utapata chupa 30@sh 10,000/= utapata sh laki tatu.

Kama utapaki kwenye chupa kubwa za konyagi utapata chupa 65@sh 7000/= utapata sh laki nne na hamsini na tano elfu.

Ukinunua Asali yangu ninakupa guarantee ya miaka mia.

Popote ulipo hapa Tanzania utatumiwa mzigo wako.nipigie 0717707565
 
na vipi kuhusu usafiri na ipo kwa kiasi gani?
 
Guarantee miaka 100? Hii sasa utani. Nilijuà kweli
 
Umeharibu tu hapo kwenye miaka 100.
BTW nikutakie kila la kheri.
Ukishindwa kupata wateja mtafute Pinda huko huko dodoma maana ni mfugaji mwenzako atakupa maujanja ya masoko
Mimi sijaharibu ila wewe ndo hujui .kama unajua je Asali ina expire au hai expire.

Kwa kukusaidia Asali huwa hai expire .ukiona Asali imechacha au kutoa harufu mbaya hiyo imechakachuliwa au imechemshwa.

Wachimbuzi wa kihistoria kule misri walikuta Asali ndani ya mapiramidi walimokuwa wakizikwa mafarao .zaidi ya miaka 200 Asali hiyo ilikuwa bado nzima kabisa.

Asali ina kiwango cha Maji asilimia 17-20.kiwango hicho ni kidogo sana kinaifanya Asali isiharibike.

Pia ndani ya Asali kuna hydrogen peroxide ambayo ina wigo mpaka wa kuua bacteria. Hiyo hydrogen peroxide iliyopo ndani ya Asali ndo hutumika hospital kuoshea vidonda ina ua wadudu wengi.ndo maana kwenye Asali hakuna bacteria anayeweza kiishi ndani yake.

Ndo maana nikatoa hiyo guarantee kwa sababu najua kazi yangu
 
Sawa Mtaalamu
 
mkuu umejitangaza vizuri tangazo lako ila umeharibu uliposema utampa mteja wako guarantee ya miaka 100 aisee unaleta utani hata kwenye biashara ayako
 
mkuu umejitangaza vizuri tangazo lako ila umeharibu uliposema utampa mteja wako guarantee ya miaka 100 aisee unaleta utani hata kwenye biashara ayako[/QUOTE

Tatizo lako umedandia gari kwa mbele,hujasoma vizuri maelezo ya juu mbona kuna MTU amelisema hili ulilo lisema na nikamjibu vizuri kabisa.

Nashangaa unalirudia tena inaonyesha hukusoma toka mwanzo
 
Back
Top Bottom