Passenger tried to blow up airliner-in Detroit

in...flight-253.jpg

Tough day for this pious young Muslim, who intended on killing 288 airline passengers in the name of Allah, but wound up grilling his own genitals instead. (At least the virgins were spared disappointment).
 
Bull,hii ni itikadi ,ISLAM inataka domination kwa violence na upanga.Huyu Mnigeria ,ni mweusi mwenzetu angejali mateso ya Waislamu wenzake Darfur kuliko kutaka kulipua watu hewani.

Upumbavu huu wa Osama Bin Laden

Pope wako ali-apologise aliposema bila evidence kuwa uislam unatumia fujo, na Baraka Obama ana-admit mara kwa mara kuwa Islam is great religious, na Qur'ani inasema: HAKUNA KUMLAZIMISHA MTU KWENYE DINI.

Hizo propaganda mnazozipokea bila kufikiri ndo zinazowafanya kuwa watumwa wa fikra.

Waafrica wengi wameteswa na kuuliwa na hao unayo yatetea, kama kunamtu mwenye hasira na mzungu basi ni mtu mweusi, sioni ajabu kwasasa au baadae mtu mweusi kuamua kupambana, unles you are stupid" tunaelewa vita ya Darfu na nyingine africa zina sponsered na Amerikans, kam walivy m-sponser Osama.

So, adui wangu anapo pambana na mtu mwingine nitashika hata jiwe nitapiga ndivyo alivyo fanya mnigeria. UNLESS AMERICAN CHANGES HIS BEHAVOUR AND ATTITUDE
 
Na wewe utajilipua at any moment
 
Una justify mauaju kwa sababu ya chuki zisizokua na msingi?
Marekani imekuonea vipi wewe mtanzania unasupport mauaji ya wamarekani?

Unasahau kuwa ugaidi uliua baadhi ya ndugu zetu hapa Dar? Unasahau kua ugaidi uliua wakenya wasiokuwa ha hatia zaidi ya 250? Bado tu unatetea uuaji wa aina hii? Unasahau kuwa Magaidi hivi tunavyoongea wanaua watu huko Somalia? Au mwenzetu huna khabari?

Alieonea Waafrika specifically East Africans and particularly Tanganyika's ni nani zaidi ya Muarabu aliekua anavunja nyumba za mababu zetu, kuwateka nyara, kuwatembeza kwa miguu kutoka kigoma mpaka Dar Es Salaam, na walioshindwa kutembea kwa ajili ya uchovu walikatwa vichwa vyao na kutupwa? Umesahau huu unyama wa hawa watu?

Bado tu munaitetea Miarabu na unyama wao? Acheni unafiki?

Jamaani someni vizuri wenzenu wakiandika msikurupuke tu kujibu! nasema tena hivi;

No one should justfy killing whether in the name of Religious or spreading Democracy

Hivi nikwasababu unaishi marikani ndio uelewi mabaya waliyo na wanayowafanyia waafrika umeyaona yaliyofanywa na waarabu tu?
nani ana-sponser vita Africa na duniani kote? si unaelewa Osama Bn Laden ni product ya Wamarikani?

Ugaidi wa marikani ulianza siku nyingi duniani pamoja na afrika, we unacho jua ni tokeo la Bongo na kenya pekee.

Nasema hivi; Wewe na mimi tunaweza kuwa victim kwenye ndege au kwa maskadi ya wamerikani, UNLESS AMERICAN CHANGE HIS BEHAVIOUR AND ATTITUDE, Dunia haiwezi kuwa safe, wasitegemee kuwa wataendelea kuwafanya watu au dunia nzima kuwa wajinga, samebody will retaliate.

Usijisahau Bro!!!!
 
Huyu jamaa ana argument muhimu sana lakini inabidi uwe na kichwa cha mwendawazimu hivi kujaribu kuwa-convince watu unachotaka kusema. Kila la kheri katika hilo, mimi nitakuwa mtazamaji, nitaingilia kukuokoa nikiona maji yamekufikia shingoni, lol.
 
s-ABDULMUTALLAB-large.jpg

WASHINGTON - Al-Qaida in the Arabian Peninsula on Monday claimed responsibility for the attack on a U.S. airliner bound for Detroit on Christmas Day, saying it was retaliation for a U.S. operation against the group in Yemen.

Federal authorities met Monday to reassess the U.S. system of terror watchlists to determine how to avoid the type of lapse that allowed a man with explosives to board the flight in Amsterdam even though he was flagged as a possible terrorist.

In a statement posted on the Internet, al-Qaida in the Arabian Peninsula said 23-year-old Nigerian Umar Farouk Abdulmutallab coordinated with members of the group, an alliance of militants based in Saudi Arabia and Yemen.

Yemeni forces, helped by U.S. intelligence, carried out two airstrikes against al-Qaida operatives in the country this month. The second one was a day before Abdulmutallab attempted to bring down a Northwest Airlines flight as it prepared to land in Detroit.

The group said Abdulmutallab used explosives manufactured by al-Qaida members. "He managed to penetrate all devices and modern advanced technology and security checkpoints in international airports bravely without fear of death," the group said in the statement, "relying on God and defying the large myth of American and international intelligence, and exposing how fragile they are, bringing their nose to the ground, and making them regret all what they spent on security technology."

http://www.huffingtonpost.com/2009/12/28/al-qaida-in-the-arabian-p_n_405177.html
 
Kama imefikia hatua ya kuruhusu wahuni kuendelea kutoa matusi kwa dini nyingine! Nafikiri imefikia muda wa kuchukua hatua, either waondoke na warudi kwenye utamu au tutaprint hizo page ya matusi kwenye magazeti na waislamu waone jinsi wanavyotukanwa na watu wasio hata na dini.last warning

ninachoamini hii forum ni kwa thinkers na si wahuni wa mtaani sasa kama ni matusi kwenye dini kwa kila tukio, kila mtu awe anatukana hii forum itakuwa ni upuuzi na soon itafungiwa
 
Punguza hasira mkuu
 
Sunday, 20 December 2009

The US cruise missile attacks on Yemen reveal a damaging escalation in America’s war on the Muslim world. Not content with presiding over a million deaths in Iraq, killing thousands in Afghanistan, and firing Predator drones into Pakistan almost every day, the current Nobel ‘Peace’ Laureate Obama has decided to now bomb Yemen.

According to eye witnesses more than 60 people have been killed - mostly innocent women and children - rebutting the now tired claims, that only terrorists are being killed.

Abbas al-Assal, a local human rights activist who was at the scene told the Associated Press, that 64 people were killed, including 23 children and 17 women
."The government wants to show the world that it is serious in pursuing al-Qaida elements and that the south of Yemen is a refuge for al-Qaida. That is not true at all," al-Assal told The Associated Press by telephone. A resident of the area, Ali Mohammed Mansour, gave similar casualty figures, saying he helped bury the dead in a mass grave.

http://www.hizb.org.uk/hizb/resources/issues-explained/bombing-yemen-and-killing-civilians-is-obamas-definition-of-peace.html
Kwanini kitendo hiki cha 20/Dec kisilaumiwe mnalaumu cha 25/Dec ? nani yuko na right yakuuwa mwenzake? No one should justify killing, whether in religious name or democracy,
If Americans will not change his behavior and attitude, we all will be victims by plane or American missiles

Haya akina MaxShimba, PakaJimmy, Abdulhalim na October: mnayajua au mlikuwa mnayajua hayaaaaa??? Mnasemaje kuhusu roho hizooo???

Na wengine akina Yegomasika, Kui, Kariakoo, mmakonde, Ujengelele, MTM, Prodigal Son, babukijana, mfianchi, AshaFaraji, Nguli, Ab-Titchaz, hebu semeni kuhusu hili???

Hebu semeni tuwasikie !!!
 
Hakuna kitu hapa, hii habari imeandikwa na "suiciders in waiting" unategemea itakuwaje? Ukimpa hifadhi adui wa mtu basi na wewe umekuwa adui. Ukishughulikiwa usilielie. Hii inaitwa guility by association. Nyie mnaojifanya mnajali maisha sana mbona hamsemi chochote kuhusu Darfur au kwa sababu wanaokufa ni wagalatia?
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EyULBRNHHIg[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=lGdk3tpHVs8[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=_9yoMuv-woo[/ame]
 
WASHINGTON – A Northwest Airlines passenger landing in Detroit on Friday tried to blow up the flight but the explosive device failed, two U.S. national security officials said.

The passenger, who was traveling on Northwest Airlines Flight 253 from Amsterdam, was not identified. He was being questioned Friday evening, according to one of the officials, both of whom spoke on condition of anonymity because the investigation was continuing.

The motive of the Christmas Day attack was not immediately clear.
"He appears to have had some kind of incendiary device he tried to ignite," said one of the U.S. officials.

http://news.yahoo.com/s/ap/us_airliner_disturbance

Kwanza mtu yule anayedaiwa kutaka kuilipua ndege hiyo ni mweusi, halafu ni mwislam, halafu alishika vitu vinavyosadikika kuwa vinalipuka. Halafu baba yake anashangaa mtoto wake amewezaje kupata VIZA ya kuingilia Marekani ilhali alikuwa anaropoka mara kwa mara kwamba angepata nafasi angewalipua marekani. Ana bahati mbaya kijana huyo, maana inawezekana mambo yote hayo ya ulipuaji sio wake, bali kuonekana tofauti na waliomzunguka ni kigezo tu cha kuitwa gaidi.

Siku moja niliposhuka Amsterdam kusubiri kubadilisha ndege ya kunipeleka niendako, mapolisi walinifocus kwa sababu walionizunguka wote walikuwa weupe. Yule polisi alianza kuniashiria kutoka katikati ya wzungu niliokuwa nasonga mbele nao kuelekea mapumzikoni, akataka nimwonyeshe passport yangu. Hakuhangaika na wazungu ila mimi. Alipoiona pass yangu akauliza "wewe ni Mtanzania eeh?" nilimjibu ndiyo, akauliza unaenda wapi nikamjibu, akanitazama na akasema haya endelea.

Ubaguzi wa wazungu bado upo. Wanadai mwafrika kwa umaskini wake ndiye pekee anayesafirisha madawa ya kulevya, mzamiaji na mwenye chuki na mataifa makubwa. Akiwa na jina la karabu ndio kabisaaaa ni gaidi. Kwa kufanya hivyo watayaacha magaidi halisi yaendelee kustesa na wakahangaika na wasio na hatia. Alipitaje na explosives hizo vikwazo vyote vya kuingilia ilhali wana wasiwasi na kila anachokifanya mweusi?

Leka
 
Kama imefikia hatua ya kuruhusu wahuni kuendelea kutoa matusi kwa dini nyingine! Nafikiri imefikia muda wa kuchukua hatua, either waondoke na warudi kwenye utamu au tutaprint hizo page ya matusi kwenye magazeti na waislamu waone jinsi wanavyotukanwa na watu wasio hata na dini.last warning

ninachoamini hii forum ni kwa thinkers na si wahuni wa mtaani sasa kama ni matusi kwenye dini kwa kila tukio, kila mtu awe anatukana hii forum itakuwa ni upuuzi na soon itafungiwa

Kinachoudhi ni pale watu fulani wapoamua kutetea mauaji ya waziwazi ya watu wasio na hatia na hawataki kuulizwa au kusemwa vibaya. Kama mtu anaamua kuua watu kwa kisingizio cha dini kwanini tusiseme?

Dini iliyo ya kweli haiwezi kutetea mauaji ya binadamu wasio na hatia na kama dini itashindwa kutambua wajibu wake basi hiyo sii dini bali ni genge la wahuni.
 
Jamaani someni vizuri wenzenu wakiandika msikurupuke tu kujibu! nasema tena hivi;

No one should justfy killing whether in the name of Religious or spreading Democracy

Hivi nikwasababu unaishi marikani ndio uelewi mabaya waliyo na wanayowafanyia waafrika umeyaona yaliyofanywa na waarabu tu?
nani ana-sponser vita Africa na duniani kote? si unaelewa Osama Bn Laden ni product ya Wamarikani?

Ugaidi wa marikani ulianza siku nyingi duniani pamoja na afrika, we unacho jua ni tokeo la Bongo na kenya pekee.

Nasema hivi; Wewe na mimi tunaweza kuwa victim kwenye ndege au kwa maskadi ya wamerikani, UNLESS AMERICAN CHANGE HIS BEHAVIOUR AND ATTITUDE, Dunia haiwezi kuwa safe, wasitegemee kuwa wataendelea kuwafanya watu au dunia nzima kuwa wajinga, samebody will retaliate.

Usijisahau Bro!!!!

Mkuu,

Hizo njia unazozisema ni njia nzuri sana kutumika kama Marekani ingelikuwa imetuvamia sisi MOJA KWA MOJA na wanakalia Tanzania kwa nguvu. Ndiyo maana kesi ya Iraq ilisababisha Tony Blair kuachia ngazi na George Bush kupoteza umaarufu.

Unachotaka kutuambia hapa sisi ni kuwa duniani wenye akili na wewe na wenzio wachache na wengine wote ni wajinga. Hapa unakosea saana. Watu walikuwa wanaandamana kupinga vita ya Iraq. Bush alikuwa akipingwa kila alipoenda na ni Wagalatia hao hao, watu wa dini na wasio na dini, MASHOGA ndiyo walikuwa mstari wa mbele kulaani mauwaji hayo. Kaja Obama kaifunga na kambi ya Cuba.

Nchi kama Tanzania ukitaka kupigana na USA basi ni kutumia KALAMU na kitabu/daftari ukichanganya na BOMU liitwalo HARD WORK. Hiyo ndiyo njia pekee utaweza kupigana. Watu kama Indonesia walikuwa masikini kama sisi, sasa hivi wako juu. Wote hawa akina Thailand, Malesia, Philipine nk. Na mtu aliyefunga kazi ni MCHINA.

Mchina miaka ya 70 alikuwa MASIKINI kama walivyo Korea ya Kaskazini. Within 30 years wamepanda hadi kufika sehemu wanawadisia USA. Wanatembeza ubabe hadi inabidi tu kuwaomba.
Kuna tetesi kuwa kule kukatika umeme NEW YORK ilikuwa kimchezo kimefanywa na WACHINA kwa kutumia Internet. Unaona sasa wanaume wanavyopigana. Unatumia Computer kuwashambulia na unaleta HASARA kubwa saaana. Ukiuwa watu kumbuka kwanza unaleta Sympath kwa viongozi wao. Unawafanya watu wa RACE yako na dini yako kuwa wanashambuliwa na kunyanyaswa kila wanaposafiri. Mchina, Mjapan, South Korea, Singapore, Taiwan ..... hawa wanaposafiri duniani ni HESHIMA JUU. Sasa wewe na umasikini wako unataka kujiunga kwenye vita ya wakubwa ambayo hata hujui inahusu nini na ilianzia wapi.

Nchi kama Saudi Arabia ni ndumila kuwili. Egypt na wao ni hivyohivyo. Kuwait, Qatar na wao ndiyo kabisaa. Sasa kuwafuata hawa jamaa inabidi uwe mwangalifu sana. Tanzania tuna matatizo yetu kibao. Naomi Campbell kaja juzi kuna akina mama wanavyojifungua, katoka nje na CHOZI. Sisi badala ya kulia na MAFISADI wetu, tuwaondoe na tuwatokomezee mbali vibaka hawa na tufanye kazi kwa bidii, tunaenda kulia na USA. Hapo ndiyo huwa naamini maneno ya Mwanakijiji kuwa TUMELOGWA.

url
url

1.jpg

Haya Watoto wako hapo juu wamekaa chini. Na wee unalilia kupigana na USA. Hii hali huwa ninashindwa kuelewa. Unafahamu kwenye BIBLIA zile amri kumi za Mungu, moja wapo inasema:
"Mpende jirani kama nafsi yako mwenyewe".
Sasa ukiangalia hizo picha, uangalie maisha ya wenzetu na sisi mwisho utagundua sisi MIPINGO "tunapenda jirani zetu KULIKO nafsi zetu wenyewe". Na hii ni kufanya tofauti na alivyoagiza Mungu yaani DHAMBI. Na dhambi hiyo inatuletea LAANA ambayo wengine wanafikiri TUMELOGWA.
 
jamaani someni vizuri wenzenu wakiandika msikurupuke tu kujibu! Nasema tena hivi;

no one should justfy killing whether in the name of religious or spreading democracy

hivi nikwasababu unaishi marikani ndio uelewi mabaya waliyo na wanayowafanyia waafrika umeyaona yaliyofanywa na waarabu tu?
nani ana-sponser vita africa na duniani kote? Si unaelewa osama bn laden ni product ya wamarikani?

ugaidi wa marikani ulianza siku nyingi duniani pamoja na afrika, we unacho jua ni tokeo la bongo na kenya pekee.

nasema hivi; wewe na mimi tunaweza kuwa victim kwenye ndege au kwa maskadi ya wamerikani, unless american change his behaviour and attitude, dunia haiwezi kuwa safe, wasitegemee kuwa wataendelea kuwafanya watu au dunia nzima kuwa wajinga, samebody will retaliate.

usijisahau bro!!!!
hapo kwenye nyeusi......... Nina wasiwasi kuwa huijui kurani
 
Back
Top Bottom