Pasipo Ali Kiba, Ommy Dimpoz si chochote

Nyimbo ya kwanza kumtambulisha ommydimpoz kwenye bongo fleva ni

Nai nai , ommydimpoz fet alikiba
Published Jan 15,2012

Nyimbo ya pili ni
Kajiandae ommydimpoz fet alikiba
Published Nov 5,2016

Nasasa ni rockstar
Ommydimpoz fet alikiba
Published Apr 16,2019

Pasipo alikiba ommydimpoz si chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona hii aliyoimba pekee yake ya your ze best nadhani ni kali kuliko hii rockstar
 
ommy dimpoz..jamaa ana uwezo wa kawaida sana..ngoma zake nyingi zinategemea collable ndo ziwe hits(sio zote) na ukubwa wake ulichangiwa na kushirikishwa na wasanii wenye uwezo..anzia kwa kimani(diamond&ommy),njoo kwa dully (utamu)hizi collable zilimtambulisha sana..ilihali yeye alivimba kichwa na kujiona anajua sana kumbe wa kawaida sana.mpaka siku ya tuzo za kill music award akawa anamdhihaki marehehu ngwear(2013) dom walimshusha stejini fiesta...kuanzia hapo akitoa ngoma peke yake ni uchafu..bella kafanya yake kwenye(mama) basi akavimba tena kichwa..baada ya hapo zero tena na wanjera wake..Kiba kamshika mkono ndo kamrudisha tena kwa game..ila jamaa anavyovimba kwenye interview utadhani bonge la msanii kweli..kumbe !!.in short ommy hawezi fanya hit kali peke yake lazima wa kumboost..back to those days of (me&you)..toka ameongea shobo juu ya marehemu ngwear huwa namuona zero tu.
 
Maisha ndo yako hivyo... Kikubwa mpunga unasoma kwenye acc yake!
 
Ommy wimbo wa peke yake mkali ni BAADAE...
 
Nyimbo ya kwanza kumtambulisha ommydimpoz kwenye bongo fleva ni

Nai nai , ommydimpoz fet alikiba
Published Jan 15,2012

Nyimbo ya pili ni
Kajiandae ommydimpoz fet alikiba
Published Nov 5,2016

Nasasa ni rockstar
Ommydimpoz fet alikiba
Published Apr 16,2019

Pasipo alikiba ommydimpoz si chochote

Sent using Jamii Forums mobile app

wimbo mkubwa wa Ommy dimpoz ni wa me and u na vannesa

pili mkuu duniani kuna stages za kushikwa mkono na kusimama...Harmonize unaweza kusema bila diamond hawezi kwenda, saa hizi anamfunika diamond

ukiwa hauna mentor, hauna wa kukushika mkono unakuwa chokoraa....hata kwenye professionals kama uhandisi, udaktari...la kama sio mentor directly kuna mtu kaku inspire uwe kama yeye its natural. Lakini pia hao jamaa wako label moja na ni kundi moja!!...kuna ubaya gani?

mantiki ya kusema hana lolote ni wivu mkuu!!..wewe umetoa wimbo gani au kufika wapi bila wa kuku guide? bila kuwa timu? yaani ni sawa na kusema Messi anabebwa na wenzake 10!!..

stupid
 
Kuna watu wasengre sana humu aise..
After all he went through...bado kuna watu wanahisi wanamdai...dahh!!
Binadamu sisii!!!!?? Mungu atusamehe tu aise.
Haya mambo ya team team yanatengeneza sumu za chuki moyoni.
 
ommy dimpoz..jamaa ana uwezo wa kawaida sana..ngoma zake nyingi zinategemea collable ndo ziwe hits(sio zote) na ukubwa wake ulichangiwa na kushirikishwa na wasanii wenye uwezo..anzia kwa kimani(diamond&ommy),njoo kwa dully (utamu)hizi collable zilimtambulisha sana..ilihali yeye alivimba kichwa na kujiona anajua sana kumbe wa kawaida sana.mpaka siku ya tuzo za kill music award akawa anamdhihaki marehehu ngwear(2013) dom walimshusha stejini fiesta...kuanzia hapo akitoa ngoma peke yake ni uchafu..bella kafanya yake kwenye(mama) basi akavimba tena kichwa..baada ya hapo zero tena na wanjera wake..Kiba kamshika mkono ndo kamrudisha tena kwa game..ila jamaa anavyovimba kwenye interview utadhani bonge la msanii kweli..kumbe !!.in short ommy hawezi fanya hit kali peke yake lazima wa kumboost..back to those days of (me&you)..toka ameongea shobo juu ya marehemu ngwear huwa namuona zero tu.

kuna siku ashatamba kwako kuwa anajua sana?? au umejileta kuanza kumuelezea

relax, acha kupanic

pumzika kwenye kiti, pata drinks

shughuli bado mbichi

# darasa-relax
 
ommy dimpoz..jamaa ana uwezo wa kawaida sana..ngoma zake nyingi zinategemea collable ndo ziwe hits(sio zote) na ukubwa wake ulichangiwa na kushirikishwa na wasanii wenye uwezo..anzia kwa kimani(diamond&ommy),njoo kwa dully (utamu)hizi collable zilimtambulisha sana..ilihali yeye alivimba kichwa na kujiona anajua sana kumbe wa kawaida sana.mpaka siku ya tuzo za kill music award akawa anamdhihaki marehehu ngwear(2013) dom walimshusha stejini fiesta...kuanzia hapo akitoa ngoma peke yake ni uchafu..bella kafanya yake kwenye(mama) basi akavimba tena kichwa..baada ya hapo zero tena na wanjera wake..Kiba kamshika mkono ndo kamrudisha tena kwa game..ila jamaa anavyovimba kwenye interview utadhani bonge la msanii kweli..kumbe !!.in short ommy hawezi fanya hit kali peke yake lazima wa kumboost..back to those days of (me&you)..toka ameongea shobo juu ya marehemu ngwear huwa namuona zero tu.
Na wewe si uimbe na umpe kolabo Ali kiba tuone utafikia wapi pompoma wewe ...
 
Back
Top Bottom