PARTICIA Vs VERONICA

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Veronica ana miaka 24, anamiliki degree ya Sheria, kwa sasa ni wakili wa kujitegemea katika afisi binafsi.
Vero kitabia ni mpole (very calm) mcheshi kiasi huruma, ana kifua cha kutunza siri.
Kwa mambo ya ndani ni msafi, kuhusu ufundi wa malavidavi ni mweupe kabisa! Kibuno hakipo.
Aidha hana uzazi, tatizo ambalo limekwishathibitishwa kitaalamu.
Particia ameishia darasa la 7, umri miaka 23, shughuli yake anamiliki genge la kuuza chakula (slams area situated) hamalizi miezi kadhaa hajakurupushana na wagambojiji.
Nae ni mtaratibu ila ni mkali sana anapoudhiwa. Tofauti na Vero ni mkimya hata audhiweje!.
Vinginevyo Parti ni mzazi tuongeavyo ana kachanga (infant). Na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati yao.
Ieleweke Jf inasaidia hata walio nje ya membars, muamala au habari hii nimeombwa Rasmi na mdau wangu kazini nimuulizie humu ndani (yeye si membar Jf) anaomba nasaha, ushauri, mawazo yenu kati ya Particia na Veronica yupi mwenye vigezo mvuto kwa kumuoa ?
Naomba kutoa hoja !
 
Mpaka mchumba wanajamii tumchagulie? Wakishindwana huko ndani?

Eti mi nashangaa! Tangu kuwe na media na social media watu wanataka kuuliza kila kitu. Some things are personal na inabidi utumie utashi wako kama mwanadamu kuamua. Tena kuchagua mke, mwandani, hebu mwambie aamue mwenyewe!
 
yeye anampenda yupi?
Moyo wake unamtaka yupi?
Halafu tabia ya kuwa na wapenzi luluki matokeo yake ndo haya,hajui awe na nani,anatuuliza sie wakati hatumjui vero wala pati.

Achague anayempenda.
 
jaman kwan yy m2 mzima kbs of sound mind hana vigezo vyake.... ebo!
mwambie awaoe wote.
 
Eti mi nashangaa! Tangu kuwe na media na social media watu wanataka kuuliza kila kitu. Some things are personal na inabidi utumie utashi wako kama mwanadamu kuamua. Tena kuchagua mke, mwandani, hebu mwambie aamue mwenyewe!

No wonder ndoa hazidumu.
Wanaooana wanataka kuchaguliwa badala ya kuchaguana wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Amchukue anae mfaa ingekuwa part time tu Vero angefaa sana bt suala la uzazi muhimu na huyo mwingine tatizo elimu ndogo mno bt yeye ndiye anaona whos the best
 
naomba jibu,baba wa kichanga(infant) ni nani?
ukinipa jibu ndio na mm nitakupa jibu kati ya parti na vero nani anafaa.
 
Senator! Sasa ukitoka huko si utaanza kuongea kingreza kingi ? Namie hakipandi !


Mkuu,

Kwa hao wadaad 2, ni vigumuu kumpa mtu ushauri labda uwe naye kwenye counselling room. Hao wanawake wana tofauti kubwa sana kiasi kwamba ni vigumu kumpa mtu sababu kwa nini Pat ni bora kuliko Vero,

Hata ningekuwa mie, hapa ningekwamba......Pat ana shule na resources lakini hawezi kunipa mtoto....Kama nataka kuoa halafu nisipate mrithi kwa nini nisijiendee kwa Kardinali Pengo akanipa kibarua nikawa towashi kabisa...(after all siku hizi wanapada dinner kama sie wengine)!!

Na huyo Vero, yuko class ya chini sana kiasi kwamba nikimuoa nitakwazika tu hata kama atanipa watoto..I would rather look for a surrogate mother if I were dying to get a baby...!!

The bottom line...Hawa wanawake 2 hawawezi kulinganishwa....Kama anaweza kutumia vichwa vyake vyote kufanya maamuzi ni poa tu, ila anaweza kuanza upya mchakato!!!!
 
Eti mi nashangaa! Tangu kuwe na media na social media watu wanataka kuuliza kila kitu. Some things are personal na inabidi utumie utashi wako kama mwanadamu kuamua. Tena kuchagua mke, mwandani, hebu mwambie aamue mwenyewe!

Sinayo hakika kama mawazo ya Jeikei, Lipumba, Dovutwa, Slaa, Mtikila, Kabwe, yakawa sawa!
 
Back
Top Bottom