Part time IT Support administrator required

Mkuu inabidi kuwa serious na kujua watu wanafanya kazi zao na time sio mchezo,wote watu wazima sasa hivi, ina maana unataka kuniambia hiyo kazi ipo toka mwezi wa 3 mpaka sasa hivi??Sikubaliani na hicho kitu nahisi unakusanya details za watu na sio vingine,Kwa hiyo ulikuwa na hizo CV toka mwezi 3 mpaka sasa ila monday ndio unapeleka kunako husika au sio??Alafu bado unataka watu wakukutumie hizo CV.....Alafu mbona umekazania sana dada zetu ndio watume kwa nini??

Jamani tuwe makini na hizi CV zetu sio kutuma tuma tu mtu kaweka tangazo basi unatuma tu bila kuuliza ni sehemu gani una apply..Lazima tutumie vichwa vyetu kufikiria haraka haraka sio kila kitu kuchukulia simple.....
Jaribu kupevuka kidogo wewe kijana recruitment kwenye some organization it takes a while kuna sehemu inachukua hata 6 months hata serikalini kwenyewe yaweza kuchukua months...
 
Mkuu inabidi kuwa serious na kujua watu wanafanya kazi zao na time sio mchezo,wote watu wazima sasa hivi, ina maana unataka kuniambia hiyo kazi ipo toka mwezi wa 3 mpaka sasa hivi??Sikubaliani na hicho kitu nahisi unakusanya details za watu na sio vingine,Kwa hiyo ulikuwa na hizo CV toka mwezi 3 mpaka sasa ila monday ndio unapeleka kunako husika au sio??Alafu bado unataka watu wakukutumie hizo CV.....Alafu mbona umekazania sana dada zetu ndio watume kwa nini??

Jamani tuwe makini na hizi CV zetu sio kutuma tuma tu mtu kaweka tangazo basi unatuma tu bila kuuliza ni sehemu gani una apply..Lazima tutumie vichwa vyetu kufikiria haraka haraka sio kila kitu kuchukulia simple.....

Njaa njaa njaa baba !ukiwa na njaa unatumia miguu na mikono tu.!
 
Mhh, nami naanza kuwa na wasiwasi na huu msisitizo wa kinadada, kama unataka kina dada tu si useme badala ya kuwapotezea njemba muda wao kukutumia CV zao. Ni bora uwe very specific man. If I were you I would have simply ask for Female IT specialist, kwisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom