Part 2; Naingia shambani very serious kulima mahindi

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,637
10,723
Rejea Pt 1 hapa kilimo cha alizeti

Msimu huu nataka kulima ekari 50 za mahindi na ekari 20 za alizeti

Nitaleta mchanganuo na mrejesho kila hatua
 
Unalimia eneo Gani? Mkoa, wilaya, kijiji? Unatarajia kipato Cha kiasi Gani Kwa ekari Moja,?
Gharama za Kulima ekari Moja ni kiasi Gani?

Na mwisho vipi Ile project ya Alizeti ulifanikiwa?
 
Nalima Singida Ndago
Mchanganuo utafuata hivi sasa nipo shamba Nafanya tathmini
 
Rejea Pt 1 hapa kilimo cha alizeti

Msimu huu nataka kulima ekari 50 za mahindi na ekari 20 za alizeti

Nitaleta mchanganuo na mrejesho kila hatua
Oyaa mzee baba Mayu
Usisahau mrejesho
 
Back
Top Bottom