Part 1: TISS bado safari ngumu

Yaani wewe ndo unaonekana mweupe kichwani.
Pili bora wewe mwenyewe umekiri kua wanawajiri wapinzani kwa lengo la kupata habri za chama. Na sio kwa maslahi ya Taifa ila maslahi ya Raisi na CCM, na hilo ndo Tatizo.
Mtoa mada anasema hawaajiri mpinzani kwa sababu ya Uwezo wake wa kuifanya kazi hiyo. Ila wanapandikiza watu upinzani kwa ajili ya ccm sio Taifa.
Sio wanawaajiri kupata taarifa za upinzani tu, hata polisi, magereza,elimu, afya, jw, uhamiaji, maliasili, hata Ccm nk wapo

Serikali lazima isikie kutoka kote
 
Naishi Australia, hapa hakuna vijiwe wala vilinge kila mtu yupo busy, ni bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako humu, TISS kupeleka Majasusi upinzani wapate Taarifa za CHADEMA kuna faida gani kwa nchi? Kwa nini wasipeleke spies Japan wakaibe technology za kutengeneza magari ili nchi ipae kiuchumi, habari za Siri za CHADEMA zina maslahi gani kwa nchi?
Wewe ni zero brain kabisa, kwanza mada yangu hujaielewa, mtu mjinga Kama ulivyo wewe eti unakuta ni agent wa TISS, pathetic kabisa.
Kwahiyo wasipelekwe upinzani?

TISS wapo kila mahali sio upinzani tu
 
TISS ina matatizo makubwa sana tofauti na watu wengi wanavyofikiri.

Tatizo kubwa kabisa linaloifanya TISS kuonekana kuwa ni taasisi ya hovyo, isiyofaa NA kuonekana kuwa ni taasisi ambayo ni adui mkubwa wa umma wa Tz ni kutokana na Sheria anzilishi ya Taasisi hii, pamoja na Sheria zingine, kanuni, na Miongozo inayotumika ktk kuendesha shughuli za kila siku za taasisi yenyewe.

Sheria na Kanuni zinazosimamia TISS ni mbaya, zimepitwa NA wakati, hazilengi ktk kuikomboa nchi hii na wananchi wake wote KWA ujumla kutokana na vitisho mbalimbali vya kiusalama pamoja na kuikomboa nchi na watu wake kutoka kwenye janga kubwa LA umaskini KWA kufanya UJASUSI wa Kiuchumi.

Kutokana na Sheria na Kanuni zilizopo, TISS inalazimika kuwa ni taasisi ya Kumlinda Rais, Urais, Viongozi wa Serikali, hasa wa nyadhifa za juu tu pamoja Serikali yenyewe, pamoja na Chama Tawala kilichopo Madarakani, basi.Hivyo basi, hata akiajiriwa nani ndani ya taasisi hii ya TISS anajikuta analazimika kutii kwa lazima matwaka haya ya Sheria ya Kulinda NA kutetea maslahi ya Viongozi wa Serikali tu na ya Chama Tawala kilichopo madarakani badala ya Kulinda NA Kuitetea Maslahi Mapana ya Umma wa wananchi wa Tz.
CHUKUA crate ya windoek nakuja kulipa
 
Kuna watu wanadhani kuondoka kwa mzee wangu wa Kanisa,TISS ndugu Kipilimba basi mambo yanaenda kubadilika na kuifanya idara hiyo ifanye kazi nzuri la hasha.

TISS bado ina safari ndefu mno ili iwe idara bora Kama zingine, recruitment ya TISS imejaa viroja na maajabu, tofauti na mashirika mengi ya kijasusi Duniani.

TISS imejaa kina "kamlete ",yaani watu wanaopewa ajira na ndugu zao kwa sababu ya ugumu wa maisha ya Bongo, hakuna usahili wa uhakika, madhara yake kumejaa ma agent ambao wakiona post Kama hii wanatamani wamkamate mtoa mada na kumpoteza.
Haina watu wazalendo kwa Taifa lao bali wazalendo wa chama tawala cha CCM chenye ndoto za kutawala Tanzania milele.

TISS haiwezi kumwajiri mwanachama wa CHADEMA au mpinzani yoyote bali Lazima awe mfia CCM na siyo mfia Tanzania.

Kazi kubwa za idara za kijasusi ni kuhakikisha nchi iko salama wakati wote na kuhakikisha hakuna umaskini ktk nchi kwa gharama yoyote ile.

Hongera zenu CIA, MI6, MOSSAD nyie ndo mnaipeleka Dunia puta kwa maslahi ya mataifa yenu, hamna muda na siasa.

Kazi ya idara ya usalama wa taifa ni kuwa loyal kwa nchi na si kwa wanasiasa...

INAENDELEA
Kumbe
 
Nilivyochukizwa na hili bandiko la kishambenga natamani hata niwataje baadhi ya TISS maarufu walio upinzani
 
Funguka Chura wa Sinagogi...!!!
Si unajua nchi hii ka sasa wenzako wakimwaga mboga we unamwaga ugali wote mlale njaa....!!!
principle ya kwanza ya ku disclose identity nilijifunza kutoka kwa raia namba moja kwamba ni lazima unayemuumbua awe na cheo kikubwa sana huko usirini ndo maana hata yeye hakusita kumuumbua diwani alipokua anampa unene TAKUKURU .. wengi waliopo upinzani ni wapiga lupempye nikiwataja ntakua nimeshindwa kugeza weredi wa namba moko😂😂😂😂😂😂
 
Na wewe usitubabaishe na Australia yako.Kujua Siri za chama hujui maana yake? Kama chadema mfano inataka kupindua nchi kwa kumwaga damu za watanzania unataka TISS wasijue? au chadema Ina kikundi Cha magaidi wa kimataifa wenye mpango wa kutaka kulipua Australia unataka TISS wasijue eti ohhh huko kila mtu Yuko busy ya vyama hayawahusu uongo mtupu kweli maskini akipata shida hadi marekani wanajua Kuna vyama vya siasa vya kigaidi nchi zingine na wanaviweka kwenye list kabisa.Chadema na vyama vyote vya siasa pote duniani hawakuwepi.mikono ya TISS hata huko Australia lazima wawemo kwenye vyama.Australia Austaralia ha ha ha ha!!!!! Mtu uko buguruni kwa kimbegele unajitia uko Australia
Mmh jaribu kuacha mambo ya kitoto na unapotoa majibu toa yanayo eleweka mana una onekana Upo kishabiki zaidi .
 
Kuna nzi mmoja wa kijani mfia chama cha mboga,akili nzito,mburula eti naye ni member wa Tiss yaani mpaka leo najiuliza Sasa mm nikiomba kazi hii si ntakuwa boss wao?Mungu atusaidie watz turudi kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom