Papitapo msumari hapakosi tundu.

OsamaBinLaden

JF-Expert Member
May 2, 2009
706
3
Kutoka na misemo mingi ambayo huchafua lugha kwa kutumia misemo hii mimim naona si vema kutumika na kufindishwa mashuleni kwa watoto hutafsiri misemo hii kwa matendo na kusimiliana na kuyafanya kuenea kwa watoto wengi ambayo hupotosha maadili.

Mfano.
Papitapo msumari hapakosi tundu
mtaka cha uvungu ainame!
Ukitaka nyama ya dafu uchokolewe..n.k

mi mtazamo wangu si vema ikatumika mashuleni hupotosha jamii na haina faida kwa watoto.

Leteni mawazo yenu....mnakaribishwa..hadi ndani..!
 
Kama una nia ya dhati na jamii yetu, anza kwanza kushughulika na ID yako yenye matege.
 
Misemo mingi ina maana zaidi ya moja, hatuwezi kuifuta au kukosa kuitumia kwa kuwa kuna baadhi ya watu wenye mitazamo michafu
 
Kwa keli kila msemo una sehemu Yake ya kutumika. Hatuwezi hata kidogo kuizuia baadhi ya misemo au hata mithali zisitumike na watoto wakti huo huo watu wazima wanaitumia.

naona ni bora iachwe itumike kwa wote bali cha msingi ni kuwafundisha watoto wetu tarbia njema
 
Sasa kama mtaani inatumika na ndiko kuna shule ya kufa mtu, basi bora tu uko shule iendelee kufundishwa kwa sababu uko ndio wanafunzi watafundishwa jinsi ya kuitafakari kwa usahihi zaidi.

Ni mtazamo wangu tu
 
Kwa keli kila msemo una sehemu Yake ya kutumika. Hatuwezi hata kidogo kuizuia baadhi ya misemo au hata mithali zisitumike na watoto wakti huo huo watu wazima wanaitumia.

naona ni bora iachwe itumike kwa wote bali cha msingi ni kuwafundisha watoto wetu tarbia njema

We are thinking the same Barubaru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom