Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Businessman charged with murder Saturday, 11 August 2012 11:25 By Rosina John

A prominent Dar es Salaam businessman, Abubakar Marijanii, alias Papaa Msofe, was yesterday charged with the murder of fellow businessman Onesphory Kituly November last year. Mr Marijani, 50, is alleged to have murdered Kituly, 54, with whom he had been at loggerheads over a parcel of land in a dispute dating back to 2007.

The businessman was brought to court around 9.30am under tight security and spent two hours at the Kisutu Resident Magistrates Court remand cell before formal charges were read against him.Mr Marijani, who maintained a calm face throughout the court proceedings, was not allowed to enter a plea until the case is transferred to the High Court.

State Attorney Tumaini Kweka told resident magistrate Agnes Mchome that Mr Marijani murdered Mr Kituly at his Magomeni Mapipa home on November 6, last year, in Kinondoni District.Mr Marijani was taken into custody nearly two weeks ago in connection with Kitulys murder that shocked and left neighbours in fear.

Before the brutal murder, Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for allegedly defrauding him of a Sh600-million house at Mikocheni medium density area.Mr Kituly had told the court that Marijani and other defendants in the property suit had fabricated a sales deed that showed he had sold the Mikocheni house to one of them.

Donning blue jeans and checkered shirt, the accused was asked not to enter any plea because the court did not have jurisdiction to try murder cases but conduct preliminary inquiries.

He will remain in custody until the case comes to an end as the offence he was being charged with does not qualify for bail. The case will come for another mention on August 23, this year.

The land dispute between the accused and the deceased dates back to 2003 when Mr Kituly was advanced with a Sh30million loan by one of Msoffes friends. The loan was to be returned in six months.

As a security for a loan, Kituly mortgaged his Mikocheni house and repaid the loan but the defendant neglected to return the title deed. Facts of the case had it that one of the accused in the case fraudulently sold the house to Mr Marijani through the use of a forged sale agreement and title deed.

After Mr Marijani acquired the house from his friend, he sued Mr Kituly in the High Court for, among other things, seeking an order that Mr Kituly vacate the premises and pay for general damages. But in an interesting turn of events, Mr Marijani instructed a court broker to evict Mr Kituly from his home.

A week before his death, the High Court had set a date to start hearing the case in which Mr Kituly had sued Mr Marijani and two others for unlawfully acquiring and evicting him from his house. He had asked the court to order the return of the certificate of title and all other properties worth over
Sh500million.

On the fateful day, around 7pm, a lone gunman shot the 54-year-old Kituly more than five times in the chest, stomach and chin outside his home in Magomeni Mapipa, Dar es Salaam.

Family members then told The Citizen on Saturday he was gunned down in cold blood in front of his daughter, as he prepared to drive into his compound. He later died from his wounds at Muhimbili National Hospital (MNH). The Citizen on Saturday has since learnt that Msofe is the current occupant of the contested house.

Source: The Citizen
 
Mungu amejibu maombi kwani huyu jamaa alijiona ni mungu mtu mitaa ya sinza ,kinondoni huku akikingiwa kifua na kamanda kenyela
 
Huyu jamaa ni mhalifu wa siku nyingi sana tangu enzi za Salamander.Aliwahi kutangazwa na Mahakama kuwa ni mtu hatari katika jamii pamoja na rafiki yake Alex Massawe wakawa katika uangalizi.
 
Msofe atatoka tuu

jamaa namfaham toka enzi za salamander pale opposite na ngazi 5 na swahiba wake alikuwa muuza juice pale anaitwa Lugano

Msofe ana hirizi mkononi inapumua

mengie watoto wa mjini watakuja kuzimwaga lakini catalogue yake iko quite impressive

mnajua msofe almanusra asababishe serikali ya Ujerumani kuikatia misaada Tanzania?

Mnajua kuwa msofe hakanyagi ulaya na hata dubai kwake kuna kipindi ilikuwa kama kituo cha polisi?

I hope Mods hawatoihamisha kuna utamu mwingi sana na nashangaa ilikuwaje hajawa legit
 
Kwa kweli huyu jamaa simjuwi zaidi ya kumsikiliza kwa nyimbo za dansi....

Ana elimu gani jamani?? Na anamiliki biashara gani halali??
 
Kwa kweli huyu jamaa simjuwi zaidi ya kumsikiliza kwa nyimbo za dansi....

Ana elimu gani jamani?? Na anamiliki biashara gani halali??

Msofe ni mojawapo ya junguluke au mpigaji,huyu ndo mojawapo ya matapeli wakubwa hapa tz.Hao walikuwa wanaibia wazungu buashara hewa za madini,alikuwa anatapeli hadi million 900 kwa mkupuo mmoja.Mzigo unauona bandari nawe unaamini biashara hiyo kuwa ni salama kumbe kanyabonya tu,na ukishapigwa kanyaboya ukiwafuatilia passport itagongwa muhuri wa mtu huyu hatari kwa tz no entry.Mtandao wao ni kubwa unahusisha pia na baadhi ya wafanyakazi wa serikali.
 
sheria ifuate mkondo wake.lakini huyu jamaa sio yeye tu bali hata serikali kuna watu walikuwa wanafanya naye uharifu
 
Msofe atatoka tuu

jamaa namfaham toka enzi za salamander pale opposite na ngazi 5 na swahiba wake alikuwa muuza juice pale anaitwa Lugano

Msofe ana hirizi mkononi inapumua

mengie watoto wa mjini watakuja kuzimwaga lakini catalogue yake iko quite impressive

mnajua msofe almanusra asababishe serikali ya Ujerumani kuikatia misaada Tanzania?

Mnajua kuwa msofe hakanyagi ulaya na hata dubai kwake kuna kipindi ilikuwa kama kituo cha polisi?

I hope Mods hawatoihamisha kuna utamu mwingi sana na nashangaa ilikuwaje hajawa legit

Mh, mh, mh.. Mbombo ngafu.. Msofe huyu tunayemjua???
 
"Mr
Marijani acquired the house from his
friend". Huyo rafiki yake Ni Jambazi Alex Masawe na ashakimbia hajulikani alipo!
 
Mungu amejibu maombi
kwani huyu jamaa alijiona ni mungu mtu mitaa ya sinza ,kinondoni huku
akikingiwa kifua na kamanda kenyela

Tena alikuwa na tabia ya kuwatukana askari wadogo vibaya sana na hata kufikia hatua ya kuwaita mbwa! wacha Dunia imfundishe!
 
Mtandao wao unahusisha hasa kituo cha polisi cha oysterbay police. hasa hasa PAPA MSOFE , MUZAMILI KATUNZI ,NDAMA NA WENGINEO .tokea enzi ya akina afande ZOMBE , BAGENI na hata alipoingia afande KALINGA kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi. na sasa wapo na afande KENYELA wamemshika masikio . hana uchawi wowote ni hela tu na njaa za hao mapolisi na watu wa uhamiaji pia anawashirikisha akishatapeli raia wa kigeni kinachofuata ni kumfukuza mgeni kwa kutumia maofisa wa immigration wenye njaa. (kifupi ni kuwa hawa jamaa pamoja na utapeli wao lakini wana hela nyingi sana na majumba ya fahari mbezi beach na mikocheni . yaani ni matajiri wa kutupwa wanaishi maisha ya juu sana hata mawaziri wetu hayapati )
 
Msofe ni mojawapo ya junguluke au mpigaji,huyu ndo mojawapo ya matapeli wakubwa hapa tz.Hao walikuwa wanaibia wazungu buashara hewa za madini,alikuwa anatapeli hadi million 900 kwa mkupuo mmoja.Mzigo unauona bandari nawe unaamini biashara hiyo kuwa ni salama kumbe kanyabonya tu,na ukishapigwa kanyaboya ukiwafuatilia passport itagongwa muhuri wa mtu huyu hatari kwa tz no entry.Mtandao wao ni kubwa unahusisha pia na baadhi ya wafanyakazi wa serikali.

Mkuu kweli tupu Hilo Jamaa ni tapeli maarufu na mchangiaji mkubwa wa CCM.apart from kuzulumu viwanja na property za watu Wametapeli sana wazungu Gold na Copper cathode feki na wanamtandao mkubwa sana serikalini hususani polisi anzia IGP mpaka polisi wa kawaida kila wakipiga dili lazima wapelekewe mgao.utashangaa ukipeleka mashtaka polisi yaan ukiwa kaunta anajulishwa kuwa kuna mtu amekuja kukufungulia kesi,polisi wanakugeuzia kibao siyo osterbay wala central wote ni wachafu.halishamlizaga mzungu fulani alikuwa na uhusiano na mama mkapa dola laki saba.Kundi la kina Msofe,wapo kina Mzamil,Mtui,asanoh,kuna wacongo man na vijana wa kichaga wengi tu wakisaidiwa na Bernard Msekwa(meneja wa chaz baba) kuwa certificate feki,na mhaya mmoja anaitwa rutashobirwa lawyer feki anaofisi pale Azikiwe building hizi ndiyo dili zinazowaweka mjini.
 
Rutashoborwa sasa anakula moto..MUNGU AMLAZE MAHALA PANAPO STAHIKI MATENDO YAKE AMEN
 
Duh endeleeni kutumwagia na sie dotcom tupate kumjua hii mutu...nasiki kwenye shoo za bendi jamaa alikuwa kumwaga mipesakwake ni kawaida. Tumwagieni wadau.
 
Rutashoborwa sasa anakula moto..MUNGU AMLAZE MAHALA PANAPO STAHIKI MATENDO YAKE AMEN

Amen..lakini ofisi yake inaendelea kutumika kudhibitisha utapeli wa madini kwa wazungu.Inshort Serikali haiwezi kujivua hili coz hawa watu wanafahamika ila hawawachukuliwia hatua coz wanafaidika na utapeli huo.Siyo mahammer na mavogue yote unayoyaona mjini yapo kialali.Msofe ni mmoja tu kuna manyoka wengi tu wamezaliwa na wanaendeleza ya Masters wao.Kuna mpaka mama wa Ki israel ambaye inasemekana anauhusiano na Bwanamkubwa anapiga hizi dili
 
Duh endeleeni kutumwagia na sie dotcom tupate kumjua hii mutu...nasiki kwenye shoo za bendi jamaa alikuwa kumwaga mipesakwake ni kawaida. Tumwagieni wadau.

watu wanaomwaga pesa ovyo ni tatizo kwenye nchi yoyote...hebu muangalie sabodo hawez kufany ki2 kama hyo coz hana pesa chafu
 
mtandao wao unahusisha hasa kituo cha polisi cha oysterbay police. Hasa hasa papa msofe , muzamili katunzi ,ndama na wengineo .tokea enzi ya akina afande zombe , bageni na hata alipoingia afande kalinga kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi. Na sasa wapo na afande kenyela wamemshika masikio . Hana uchawi wowote ni hela tu na njaa za hao mapolisi na watu wa uhamiaji pia anawashirikisha akishatapeli raia wa kigeni kinachofuata ni kumfukuza mgeni kwa kutumia maofisa wa immigration wenye njaa. (kifupi ni kuwa hawa jamaa pamoja na utapeli wao lakini wana hela nyingi sana na majumba ya fahari mbezi beach na mikocheni . Yaani ni matajiri wa kutupwa wanaishi maisha ya juu sana hata mawaziri wetu hayapati )

nimaamini hili fashisti lina uhusiano na ndama. Ninamfahamu vizuri sana ndama. Ndama shaabani amepata utajiri wa ajabu. Ndama alimaliza shule ya msingi ubungo n.h.c mwaka 1989 na akasoma tambaza sec 1990 - 1993. Ndama alikuwa karibu sana na lile jangili puzza (william jackson)janafunzi la tambaza lililojiua nyumbani kwao nmabibo mwezi june mwaka 1991.

Ninaamini kuna connection na police kwani ndama ana undugu na igp said mwema. Kumbuka ndama alikuwa na kesi ya mauaji ya albino.....na alikamatwa .....lakini huwezi amini ile kesi haijulikani imeishaje......
 
Back
Top Bottom