Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 403
- 191
Habari zengu wenzangu wanaJF.
Kwa staili tumekuwa tunazugwa kuhusu ukraine ni cha mtoto kulinganisha na hili nnalowaletea wenzangu. Nivumilieni mapicha mengi ila nataka mtambue picha halisia - na wenye hisia wapingane na ushahidi.
Naomba sote tuzingatie na tukumbuke kwamba warumi walirithi uabudu wa jua wa wababylonia - wale waliojenga mnara wa babeli. Tuzingatie warumi walitawala dunia kama dola yao.
Tukumbuke ni dola ya mwisho kutawala dunia, na ndio ilieneza itikadi, dini, na elimu yake hapa duniani... vitu ambavo vipo hadi leo hii. Kwa hiyo hapa tutambue hii dola haijafa ila iligawanyika kuwa mataifa madogo madogo yenye itikadi ile ile.
Leo hii kuna EU - muunganiko wa mataifa yaliounda dola ya warumi zamani - dola inarudi mdogo mdogo... Kibiblia - hii ni stori ya zile pembe kumi, tutaipitia baadae. La muhimu pia kuzingatia na kukumbuka - ni kwamba warumi walimsulubisha Yahsua (Yesu) na kuzidi kidogo miaka 300 baada ya Yahsua kupaa, waliendelea kutesa, kusulibisha, na kuua wakristo.
Walikuwa ni wapinzani wakuu kwa wakristo, na walikuwa wamejikita sana sana kuabudu jua - makanisa na sikukuu zao kibao. Baada ya hiyo miaka 300... mfalme wao ghafla kaamuru raia wote kubadili dini na kuwa wakristo - ndipo kuzaliwa kanisa la katoliki. Ni muhimu sana kutambua hawakujua moja wala mbili kuhusu ukristo, na 'walilazimishwa'.
Walijua zaidi upagani wa kuabudu jua, na walizoea mila za dini yao kamili gado. Kwa hiyo kanisani kupya mila za zamani ziliendelea - hata nyingine kuruhusiwa rasmi. Tunahitaji kukumbuka na kuzingatia kwamba kuna kipindi kirefu sana kanisa la katoliki na utawala wa kirumi vilikuwa kitu kimoja, ikimaanisha papa alikuwa mtawala anaeweza kuamrisha wafalme wa enzi zile.
Hii ndio sababu ya mfalme wa Uingereza kuanzisha Anglican, na Napoleon kumpindua papa. Papa alirudishiwa mamlaka na mfalme Charlemagne...
Swala la utawala wa kidini ni gumu hadi leo, na nchi nyingi haziruhusu. Dunia iliona mateso ya utawala wa kikatoliki na utawala wa kiislamu. Leo hii mfumo wa elimu unafunika funika ukweli huu - Vatican ni taifa na Rais wake ni papa.
Lina mabalozi nchi kadhaa pamoja na Umoja wa Mataifa umekaribisha Vatican. Inamaanisha papa ni raisi wa nchi ya Vatican na pia ni kiongozi wa kanisa la katoliki duniani. Hapa dini na serikali vimechanganyikana.
Hapo chini ni picha ya makao makuu ya EU (kushoto) na mnara wa babeli (kulia). Wanatamba wazi wameiga mjengo... kwa nini? Wameiga mjengo tu ama itikadi za Babylonia? ... cha kujiuliza
chini ni picha ya nembo ya warumi - enzi za utawala wao wa dunia
Angalia sasa alama za umoja wa mataifa na vyombo vyake...
Marekani ni dola sasa hivi iliozaliwa na dola ya zamani ya kirumi. Kwa hiyo ujue haitoki nje sana na itikadi za dola ya kirumi. Moja ya hizo itikadi ni kulinda na kuwezesha mamlaka ya papa yaheshimike duniani.
Sasa tuangalie kwa kifupi ile dini OG ya warumi - dini ya kuabudu jua. Siku ya kusali ilikuwa SUNday (jumapili). Wakati huo huo, siku wakristo walisali ilikuwa Sabato (jumamosi) - tokea enzi za agano la kale na mwanzoni wakati wa agano jipya. Hapa naomba niwaonyeshe picha za ishara za waabudu jua
Sasa naomba tuangalie picha zinazotuonyesha itikadi za kanisa la warumi katoliki ambalo wamelifanya liwe kanisa mama duniani. Kumbukeni niliwaambia kabla ya ukatoliki walitokea wapi kidini...
Nembo ya mji wa Vatican (kulia chini) - nembo ya kina freemason (kushoto)
Picha ya Vatican City ukiwa angani
PICHA ZA NDANI KANISANI VATICAN
Hapa tuone wazi - viongozi sio raia, viongozi sio waumini ndio wanatuendesha vibaya na kutupotosha... Mimi ni mjumbe tu - nilicholeta kilikuwepo nisilaumiwe kama vile naisema vibaya dini. La hasha, si nia yangu. Ukristo ni dini nzuri, na dini maana yake ni muumini unatakiwa kufuata misingi na matakwa ya dini, na sio matakwa ya mafarisayo. Unapotambua ukweli, wewe kama wewe, utakwenda sahihi hata kama mchungaji anapotoka. Ni wajibu wako kumuonyesha ukweli mwenzako ili nae aamue kivyake. Kuendeleza uongo ukishatambua kwa sababu ya kumuheshimu mchungaji ni dhambi. Kila mtu atahukumiwa pekee sio na mchungaji wake pembeni. Kunyoosha uumini wako ni kumkaribia Mungu wako. Kwa kweli nimeleta habari kama ushahidi wa kihistoria na wala sijaingia kwa dini.
Anaependa kuelewa hili swala kidini - unahitaji maana ya mafumbo afu linganisha maneno ya mistari na kilichotokea na kinachotokea duniani... Utafumbua fumbo. Danieli hakuelewa mafumbo, dunia yake ilikuwa bado ndogo sana yeye kuelewa... Kwa kifupi, maono ya Danieli biblia inayoongelea:
Kaa chonjo - utaona papa analazimisha j2 iwe tukufu... akisaidiwa na mmarekani aliejidai dini na serikali haviingiliani.

- sitaingia sana kwenye maana zake - unaeza tafiti - ila kumbukeni dini za kipagani zilikuwa na mungu (mama na mtoto) ambacho kanisa flani lilirithi...

- pembe 10 - dola ya urumi ilipoanza kubomoka - kwanza iligawanyika magharibi ulaya (wakatoliki) na mashariki (waorthodox). Iliitwa the great schism. Kisha magharibi ulaya wakagawanyika makabila OG 10. google makabila 10 baada ya dola ya urumi kuvunjwa... ukichimba historia, yako makabila 3 yalitekezwa kwa amri ya pembe
- kiumbe wa nchi kavu - marekani ... hii dola itakuja kumsaidia kapembe kadogo kulazimisha j2 irudi ka takatif
- pembe ndogo - papa... leo hii raisi wa nchi na kiongozi wa dini anaevuta watu dunia nzima kuliko raisi yeyote ni papa...