Kawaulize polisi.Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Kawaulize polisi.Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Policcm ni maviiii kabisaHao polisi wangesikia kuwa ni CHADEMA wanafanya mkutano asee wangefurika na washawasha na risasi zakutosha.
Kikubwa inabidi wananchi wawe vigilant tu kama serikali imeamua kukaa kimya. Kamata hao panya choma mishaki achia mbwa wale.
Mwambie awarekodi videoHuyo jamaa yako nadhani ni mhusika mie naongea na mdogo wangu wa kike, na mza mdogo wapo huko ndio wananiambia wamejifungia maana jamaa wamepita mtaani kwao we unakuja kubisha tu.
Hao ni mawakara na wateja wa ngada ( madawa ya kulevya) ya hukoo wa mzee wa msoga ,mama karudisha ngada mitaani sasa tunaona matunda yake .2019 Kuna mkubwa wao mmoja alipigwa mpaka kifo kule tabata darajani. So ilikuwepo tu sema walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo ya wanachakazwa tofauti na Sasa imekuwa Kama wanashirikiana na polisi
Kwa maana Yako machinga ndio panya road siyo? Au magufuli ndiye aliyekuwa anawasaka wahalifu mtaani kwenu? Watendee haki machinga na usiwabebeshe zigo la panya road kwani walio wengi hawana muda na wizi Bali wanajishughulisha na biashara zao.Huu upumbavu ulipotea kabisa kipindi cha Magufuli hawa viongozi wetu wa sasa sijui wamekula maharage ya wapi mpaka wanashindwa kutumia Task force ambayo tunayo , kipindi cha Magufuli huu ujinga ulikufa maana price ya kumess na the system ilikuwa ni maisha yako , sasa hv Oya Oya nyingi plus maisha kupanda ,machinga kuvunjiwa vibanda vyao naona vijana wamerudia zama zao
Huyo aliyekupa taarifa ni mzushi na mwongo Sana! Jana majira ya kuanzia saa nane mchana watu walikatwa mapanga na kuumizwa mno kiasi kwamba walio wengi wamelazwa hospitali ya mwananyamala Kwa majeraha waliyoyapata. Binafsi niliwaona panya road wakiwa wamesambaratisha watu na kuvamia maduka na kupora bidhaa na pesa. Kuna mtaa unaitwa emii ndiko walikokimbilia kuelekea mashimoni. Sijasimuliwa nimeshihudia Kwa macho yangu! Vijana hao sio wa kuletea mizaha kwani ni hatari kuliko mbwa mwitu!Hakuna tukio hilo kilichotokea ni Mtu anagombana na Mke wake sasa Watu kwakuwa wameathirika na tukio la jana wapewa taarifa ya uongo wamejifungia ila hali ni shwari huko.
Taarifa imetokea kwa waliopiga simu Polisi na Polisi wamefutilia na kugundua siyo kweli ni Ugomvi tu wa familia.
Kwani watu ni wale wale, askari wa kipindi kilee ndiyo Hawa walipo sasa.Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Acha madharau mbwa wewe wanaume wa Dar ndio tunawafiraga nyie mbwa mnaotoka mikoani, Soma vizuri thread sio mimi mie nilikuwa town kwanza hata ukisoma hakuna nilipoonyesha balaa huko kwenye panya road wewe unajifanya hero kisa upo vichakani huko na unaandika kwenye simu yako vitu vya kujitamba kipuuzi.Unasubiri uambiwe kujilinda?
wanaume wa Dar bana mna mambo flani ya kishosti shosti sana
Maisha yamekuwa magumu.. juzi a day before Idd niliacha viatu nnje sijavikuta yaniNdugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Imagine mtu anaona viatu, mie niliacha kopo la rangi la Lita nne na rangi ilikuwa imebaki kidogo sana Ila wakabeba hivyohivyo.Maisha yamekuwa magumu.. juzi a day before Idd niliacha viatu nnje sijavikuta yani
Kwa mara ya kwanza.. miaka yote niliyoishi hapa hili ndo tukio la kwanza
Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
Usikute huo ni mpango wa police kumfanya mama aonekane hafai? Waziri Masauni ni jana tu alikuwa Chanika akiwa na IGP Siro wakatoa matamko mengi iweje leo ijirudie. Kamanda Siro na Waziri wako mjitathmini. Tunaona kabisa mnamfanyia kusudi mamaKuna kitu nyuma ya pazia sio bure.
serikali ya ccm inakwama wapi kwanini hao panya road wasitafutiwe paka road wanyooshweHuu upumbavu ulipotea kabisa kipindi cha Magufuli hawa viongozi wetu wa sasa sijui wamekula maharage ya wapi mpaka wanashindwa kutumia Task force ambayo tunayo , kipindi cha Magufuli huu ujinga ulikufa maana price ya kumess na the system ilikuwa ni maisha yako , sasa hv Oya Oya nyingi plus maisha kupanda ,machinga kuvunjiwa vibanda vyao naona vijana wamerudia zama zao
ukiona hivo ujue huko kuna pakaroad wasiohasiwaMura waambie hao panya rodi waje na ukonga huku mura. Murha watu wanaacha mpaka pessa na mayai nje murha ukonga wanawazarau panyarodi waje huku murha
Nashukuru sana kwa mchango wako wa mawazo!Kwani watu ni wale wale, askari wa kipindi kilee ndiyo Hawa walipo sasa.
Tunaomba askari watuonee huruma. Mtu anauwawa kwa sababu ya television kama yaliotokea Mwanza.
Wimbi la uhalifu limetamalaki kila mahali Tanzania.
Hivi kweli hivi mpaka Raisi alizungumzie
waziri mkuu yupo, waziri yupo, IGP yupo, RPC yupo, RCO yupo, OCD wapo,RC wapo, DC wapo, mtendaji kata wapo, watendi wa mtaa na vijiji wapo. Wabunge ndyo kabisaa hawajui ni nini wajibu wao
Hivi mnafanya mini.
Aibu yenu,
Naona mmezoa kazi,
Mnataka kufuatwafuata kama mwendazake alivyokuwa anafanya
Hii ndiyo TZ wakwepa majukumu.
Paka road wapo wapi mpaka panya road wanazaliana kiasi hiki?Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Baba nabaki kuwa BabaHivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?