Panya Road ni "Mpango Maalum"

Dont go away

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
501
208
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.

Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.

hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.
 
go away manake umeongea pumba kabisa. mtoa taarifa , walishawishiwa ..halafu wakatize mikoa yote geita shinyanga tabora (nzega) singida, dodoma morogoro hadi dar huko wasiongee kwenye ofisi za chama chao kuwa wanazuiwa wewe uje utudanganye hapa ati mtoa taarifa amekwambia halafu ati panya road ni mpango uliosukwa.hakika wewe unafanana na dudumizi
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.

Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.

hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.
 
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.

Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.

hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.

Nauganisha dots zinagoma,
 
Angesema issue ya panya road inahamisha mjadala kutoka ESCROW hapo ingekaa sawa..
 
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.

Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.

hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.
Akili yako ya kawaida sana uongo kama huu wajinga ndiyo wanautumia lakini siyo watu wenye akili zao ukiwa muongo inabidi uwe na akili nyingi sana siyo mzembe kama wewe.
 
Kwa ujumbe waliobeba wale vijana ni wazi JK hawezi kuonana nao maana ni kama watakuwa wanamtukana.

Ni vijana wajasiri na sidhani kama watakuwa wamefika hapo bila jamaa wa Makumbusho kuwa wameshawahoji na kujiridhirisha wanafaa kuonana na Rais au laaah.

Kwa mantiki hiyo inawezekana au matukio haya yanekuja kwa pamoja ikawa kama ni mpango uliosukwa.
 
Panya road, panya buku hata mbwa mwitu walikuwepo kabla ya hawa vijana wazalendo. Kwa hiyo hakuna uhusiano wa kufunikana hapo
 
Nchi hii haiishi vituko, nimepata taarifa kutoka ndani kabisa kuwa wale "panya road" ni mpango maalumu uliosukwa kiustadi zaidi ili kuwaamisha wananchi wasijadili ujio na kuzuiwa kwa vijana kutoka Geita kwa miguu kwa nia ya kuonana na Rais.

Mtoa taarifa anasema vijana wakiwa njiani kuja dar. walishawishiwa sana ili wabadili au waahirishe kuonana na RAIS na hata waliwatumia watu wengine kuwashawishi lakini vijana wale waligoma kabisa, ndiyo maana ikabuniwa hii ya panya road ili kuamisha mjadala wa wananchi kwa vijana hawa.

hakika vituko haviishi Tanzania yetu hii na yasiyowezekana duniani kote basi Tanzania ni mteremko haswaaaaaaaa.

Siyo rahisi kuamini ulichoandika. watu watatu tu wafanye mipango mikubwa na ya hatari kusukwa kama hii. Je siku ya kupitishwa katiba mpya, au uchaguzi mkuu wa rais si watarudishwa komando yoso kuvunja kila nyumba.
 
it makes a lot of sense, Hawa vijana wangeleta mjadala mpana sana wa kitaifa na iwapo serikali ingechukua hatua za kikatili zozote dhidi yao ingekuwa ni scandal ya hali ya juu!.
 
Back
Top Bottom