Pakistan: Msikiti WAPIGWA BOMU!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
WANAPOSEMA MWENZAKO AKINYOLEWA WEWE...............................!inawezekana ni bora kujizatiti 'MJOMBA',

takriban saa moja na nusu huko pakistan,tukio lifuatalo limetokea katika SWALA-JUMAA MSIKITINI:

Pakistan Mosque Bombing Leaves 40 Dead

Around 40 people have been killed after a bomb blast ripped through a mosque in a remote area of Pakistan.

The attack happened in the Upper Dir district in the north-west of the country.
"Around 40 people are killed. The death toll is 40.
"We have no idea as yet how many have been wounded," said government official Atif-ur-Rehman.



 
Haya mambo yanasikitisha sana jinsi wanadamu tunavyo weza kuamua mambo yanayo muangamiza binadamu mwenzetu, tena ndugu zetu wa damu!! kwa kumfurahisha nani hasa au kumkomoa nani hasa!?
Vita gani hii ya kulenga nduguzo kwenye nyumba ya ibada??
 
Pakistan soo will become a failed state!

Je silaha Taleban na Al Quida wanapata wapi?

Who is the big dady behind hawa exremists?
 
MUENDELEZO WA HABARI.....................

.....He warned that the death toll was likely to go up.
On March 27, a suicide bomber attacked a crowded mosque in nearby Jamrud, killing about 50 people.
Upper Dir is close to Swat valley where Pakistani security forces launched a major offensive last month to expel Taliban militants.
Pakistani officials have warned that militants would strike back.
The latest blast is the ninth bomb attack in the country since the offensive began.
 
Hao wapakistan wajue wanamalizana wenyewe,wangemuheshimu Mungu hivi wa laana wanaangamiza nyumba za ibada,kweli watu waajabu
 
Hao wapakistan wajue wanamalizana wenyewe,wangemuheshimu Mungu hivi wa laana wanaangamiza nyumba za ibada,kweli watu waajabu

froida,na huku bongo 'UPAPA' na 'UNYANGUMI' unatumaliza,au vp?
 
Yaweza kuwa popote mkuu. Nani aijua ya Mbagala!?



Mwenzio akinyolewa na wewe jiandae kwa kutia maji.....
Nani alitegemea balozi za marekani zingepigwa Tanzania na Kenya zingepigwa.
Matukio haya hutokea bila wahusika kujua. Inabidi kuwa tayari muda wote kaka......................
 
Muhammadic extremist! Kaazi kweli kweli

This is just hooliganism like that which was done by Timothy McVeigh in Oklahoma, but the purpose of this I think is mainly to instill fear into people so that they won't support their government.
 
Back
Top Bottom