Paka akiondoka panya hujitawala, haya huu ni wakati wa panya na ukoo wake kufurahia soka bila uwepo wa YANGA, kunawatu wamepigwa chenga ya mwili.

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,656
9,267
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
 
20240106_221339.jpg

🤣😁
 
Wewe unajua Mpira na unajua saikolojia .
Umesoma mawazo ya gamondi kwa ufasaha .
Mechi ya Leo gamondi hakutaka kabisa kushinda ukiangalia lineup aliyoanza nayo !
Kama wachezaji 10 kikosi cha kwanza hawapo na mchezaji mpya tegemeo atakayeingia first eleven hayupo maanake haileti maana kupambana sana kushinda , kwa ile beki ya kibwana , dogo wa u20 na mauya ,azam au simba wangeshinda Tena goli nyingi kelele zingekuwa nyingi na kufuta bango la 🖐🏿 na fedheha ingekuwa kubwa.
 
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?
 
Sio wachezaji 10 tu wa first eleven ambao awakuwepo ni 13, Kama kocha una malengo makubwa uwezi kuweka nguvu kwenye bonanza Kama lile kuchosha wachezaji na majeraha alafu ukirudi kwenye michuano RASMI uanze kusuasua, Iyo michuano uwa ni ya vilabu Kama Azam, singida, Simba na vitimu vingine, kwa mfano Simba, Azam na singida ni lazima watoe macho kwenye icho kikombe maana mwisho wa msimu wataulizwa mmeshindwa kubeba ata bonanza la mapinduzi?
Maana uku kwenye ligi Awana Chao Sasa ni Bora kocha ajilipue apate pa kupozea machungu
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kupanga ni kuchagua wengine wamechagua kubeba mapinduzi cup na wengine wamechagua kubeba ubingwa wa ligi kuu bara, ivyo Kila timu Ina mipango yake, ndio maana timu nyingine zimepeleka full mkoko wa vikosi vyao vya kwanza na wengine wakapeleka wakaa benchi na U20, kukataa kabisa kushiriki sio heshima kwa wakuu wa nchi lakini unaweza kukataa kwa akili kubwa ndicho kilichotokea kwa mabingwa wa nchi Yanga!
 
Yanga kufungwa na APR ni aibu sana kwani APR haitasema ku8wa ilicheza na Yanga Yoso bali watatamba kuwa waliifunga Yanga Original. Hii imechafua sana Brand ya Yanga. Angalu Baada ya kuongoza kwa bao moja kipindi cha kwanza Gamond alitakiwa aimarishe ulinzai lakini cha ajabu ni kuwa timu ilikue nzuri huko forwad lakini defense mbovu kabisa
 
ulichokiona wewe ndicho kilichotushangaza wengi, wewe unadhani benchi zima la ufundi halikuona ulichokiona badala yake wakaingizwa maforward wengine tena ambao ni U20
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kwamba Okra na Skudu wasingeumia Yanga isingetolewa? Kwamba Gamondi asingetamka kuwa Yanga haina kikosi kipana, isingetolewa? Kwani si kweli kwamba haina kikosi kipana? Yanga wametolewa kwa kuzidiwa uwezo, na si vinginevyo. Kuonyesha kuwa walipania ila wamekwama, mechi ya kwanza dhidi ya Jamhuri walishinda 5-0
 
Yanga iliposhinda goli 5 mechi ya kwanza kelele za minara ya 5G zilikuwa nyingi leo wamekandwa eti hawakuwa serious na mashindano.
Wale waliopandishwa boat kusubiri nusu fainali vipi walifika au wamerudia chumbe
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Kwanini hawakutoka mapema hatua ya awali? Yaani timu mwanzoni mwa mashindano imekutana na vibonde imewafunga goli nyingi halafu unazungumzia uharo kweli?
 
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.
Labda nikuulize tu kwanini alikuwa hayataki haya mashindano? Sababu hasa ni ipi?

Timu iliyoenda Zanzibar ikiwa na benchi zima la ufundi na viongozi halafu useme hawakuwa na nia na haya mashindano?

Sifa ya kocha yeyote ni kubeba kila kikombe kilichomo mbele yake ili kujenga CV nzuri.

Tukubali tu tulizidiwa ndiyo maana tukatolewa. Apr hawakufunga magoli ya bahati nasibu bali walipiga mbungi na magoli ya maana wakafunga.
 
Wewe unajua Mpira na unajua saikolojia .
Umesoma mawazo ya gamondi kwa ufasaha .
Mechi ya Leo gamondi hakutaka kabisa kushinda ukiangalia lineup aliyoanza nayo !
Kama wachezaji 10 kikosi cha kwanza hawapo na mchezaji mpya tegemeo atakayeingia first eleven hayupo maanake haileti maana kupambana sana kushinda , kwa ile beki ya kibwana , dogo wa u20 na mauya ,azam au simba wangeshinda Tena goli nyingi kelele zingekuwa nyingi na kufuta bango la na fedheha ingekuwa kubwa.
Kwanini alikuwa hataki kushinda? Yaani moja ya ajira ya kocha na sharti analopewa ni pamoja na kubeba kikombe chochote kilicho mbele yake bila kujali ukubwa wa kikombe ama mashindano.

Nipe sababu za kitaalamu tu kwanini kocha wa Yanga hakutaka haya mashindano?
 
Back
Top Bottom