Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

Status
Not open for further replies.
hakuna watu nawachukia kama viongoz wa dini, ni mandumilakuwil wanaopima upepo wa kisiasa unakoelekea! makanisan sasa imekuwa siasa mtindo mmoja. mpaka unasikia hasira, mi naunga mkono hoja ya kuwa usalama wa taifa wawepo makanisana na inapotokea mafundisho yaliyojaa siasa viongoz hawa wahojiwe na kupewe karipio kali. tunajua wengine n mafisad wa kufa mtu nj wameng'ang'ania madaraka pia. sehem ingine askof alisusiwa!
 
Jamani embu tuangalie maelezo tusiangalie alieyatoa ni nani maana watu wako tayari kufa kwa kuambiwa ukweli kuwa mbele kuna shimo lisilo na mwisho kwa kubishana na alotoa tangazo ikiwa tu ni padre au shekhe!
Naungana na alosema 4m4 ni tabu lakini baadhi! kwani hata mm darasa la saba sikumaliza lakini nimeona hili!
 
hakuna watu nawachukia kama viongoz wa dini, ni mandumilakuwil wanaopima upepo wa kisiasa unakoelekea! makanisan sasa imekuwa siasa mtindo mmoja. mpaka unasikia hasira, mi naunga mkono hoja ya kuwa usalama wa taifa wawepo makanisana na inapotokea mafundisho yaliyojaa siasa viongoz hawa wahojiwe na kupewe karipio kali. tunajua wengine n mafisad wa kufa mtu nj wameng'ang'ania madaraka pia. sehem ingine askof alisusiwa!
[video]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/352129-mapya-yaibuka-mauaji-ya-profesa-mwaikusa-print.html[/video]
 
sheikh lipumba alisema uslam upande daraja 'a'
Pia ni kosa

alitakiwa asisitizie maadili ya haki, uwajibikaji, utawala bora, kipinga unyanyasaji na ukiukwaji wa haki za binadamu

Hizo ni principles za dini zote
 
Kuna ihusiano gani kati ya kusema CCM itang'oka na idini? Au kwasababu aliyesema ni padre na kiongozi waCCM ni muislam?. Baadhi ya mitanzania ni ya ajabu sana, inapotokea JK anasemwa kwa udhaifu wa serikali yake mnakimbilia kumtetea eti kisa ni wa dini yenu! Tuache ushabiki matatizo ya nchi hii hayabagui eti wewe ni muislam then yatakukwepa.
 
kwani Eddo mwisilamu mbona watu wengi tu hawamkubali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom