Ouko's Death Report Released...

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Ninawakumbusha tuu watawala wa Tz haitajalisha miaka mingapi itapita ila ipo siku moja ukweli juu ya ULIMBOKA, KOLIMBA, KOMBE na wengine wengi utajulikanika, na mwisho wenu utakuwa mbaya sana! Si hayo tuu hii mikataba feki ambayo mnaingia, kutumia mahakana kuzuia haki za watu nawakumbusha tena haitajalisha itachukua miaka mingapi lakini ukweli siku moja utawekwa hadharani !
Nani ambae alijua issue ya ROBERT OUKO baada ya miaka 20 ingeibuliwa upya na
 
Aisee huu uzi mbona umeishia kwenye UPYA NA????? au UmeKopy na Kupest!!!!
 
Back
Top Bottom