Osama hajafa

muwieni radhi hakujua aliko ni wapi! Watoto wengi sku hz wanathink nutz 2.. Osama wako nan alikupa?
 
Wala hajafa osama wangu.

we Mwanaidi endelea kuwa in denial ................
Sheikh Osama hajafa
Noriega aliyekamatwa na Bush Sr. alikuwa feki. Noriega original yuko Colombia
Sadam yu hai. Yule alienyongwa ni feki/double wake
Carlos the Jackal bado hajakamatwa. Wamemkamata Carlos feki
2Pac is still alive and kicking!
Elvis Presley hakufa
Obama was born outside US
Princess Dina hakufariki, yule aliepata ajali was fake!, inasemekana anaishi na mtoto wa Al Fayed ktk kisiwa kimoja cha makazi ya siri
Sept 11 ilitengenezwa
Nyerere aliuliwa na mama Maria
JK ni mnyarwanda tena toka ukoo wa Kagame
Sokoine aliuwawa na JKN
NASA hawakutua kwenye mwezi
Mandela ni freemason
Babu wa Loliondo ni mradi wa Lowassa na Rostam
Shekilango, Namfua, Kleruu, Sokoine, Kolimba, Gov. Rutihinda, Prof. Malima waliuawa kwa siri
Balali yuko hai amefanyiwa plastic surgery na anaishi Mbezi beach
Dr. Slaa ni CCM damu
JFK yuko hai na anaishi makazi ya siri South America
Hitler yuko hai anaishi Argentian ila ni mzee sana
Polycarp Pengo ni mafioso
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Osama wa waislam amekufa na amebaki Osama wa wakristo(Bush). LOL
----Kazi udini tuu--hayaa-katafteni kazi mfanye huko---Eti Facebook ya watoto na JF na greate thinker--Kalale huko wewe.
 
Mwanaidi hebu acha utoto, inakuwaje mtu mzima uanzishe jambo bila ushahidi? From no where "osama hajafa" kwanini unasema hajafa? Huna sababu, kaa kimya kama huna hoja hapa siyo face book kuweka utani wa kitoto. Unataka nani athibitishe osama hajafa, waliomuua wamesema, obama amesema, binti yake kathibitisha kuwa babaye alipigwa risasi mble yake naye analia kwa uchungu, sasa wewe unasema hajafa ulikutana naye? Tafadhali tuombe radhi hapa ni home of great thinkers.
 
Back
Top Bottom