Nami nasubiria hapa.. Ila niachie namba yako kama hutojali hapa au PMHabari za humu wa forum?
Nilikuwa naomba kujua maswali common ya ORAL INTERVIEW za UTUMISHI
Asante.
Asante kiongozi.1.Tell us abt yoursel
2.responsibilities za kaz husika
Hzo zmewapa sana kazi wadau wengi utumishi
Na maswali yao ni ma5 tu