Oppossition has abstained

Haya maswali nasubiria kuona yatajibiwa vipi na wana ccm hapa jamvini. Hapa nilipo nawasiliana na wapinzani kujua tofauti ya kupiga hapana na kuabstain ni nini hasa na itasaidia nini kwenye bajeti hii.

..ngoja nijaribu,

..ukisema hapana,maana yake huitaki.

..ukisema una-abstain maana yake unachelea maana kuna mambo hayajakaa vizuri na hayataki haraka.
 
Mama Killango amepiga kura ipi?

Kabla hajaibariki, Malecela alikaripia nini, akapinga nini, akachambua nini kuhusu graphu na ankra za hii bajeti?

Sio kuhusu populist rhetoric za "hapa hapatatosha hela za EPA zisiporudi.'

Isije ikawa alikuwa 'off topic' halafu crummy Press ya Bongo haikuwa na upeo wa kutuambia chochote!

Ha ha haaaaaaaaaa!
 
Ama kweli kusema sio kutenda!!!

Sasa kwani kulikuwa na kosa gani? kama wapinzani hawaiingu mkono bajeti wasiseme wazi kwamba "SIYO"; badala yake wanasema abstained... tena kwa lugha ya kigeni... ikimaanisha kama wanaficha vile...

Walahi ningekuwa spika ningesema wananchi hawajuli hilo neno... hence kura zimeharibika...

Lazima tujue wanasiasa wetu wote wa pande mbili hawajiamini
 
..ngoja nijaribu,

..ukisema hapana,maana yake huitaki.

..ukisema una-abstain maana yake unachelea maana kuna mambo hayajakaa vizuri na hayataki haraka.

DsL,

Mimi bado sioni kama kuna tofauti sana katika hili hata kama wangesema NO ila kwa vile siasa ni mchezo wa maneno basi kwa mbali naweza kuona point yao kwenye mjadala.
 
Kabla hajaibariki, Malecela alikaripia nini, akapinga nini, akachambua nini kuhusu graphu na ankra za hii bajeti?

Sio kuhusu populist rhetoric za "hapa hapatatosha hela za EPA zisiporudi.'

Isije ikawa alikuwa 'off topic' halafu crummy Press ya Bongo haikuwa na upeo wa kutuambia chochote!

Ha ha haaaaaaaaaa!

Mkuu Kuhani,

Unataka kujua au kupewa alichosema Mama Malecela kwenye hii bajeti?
 
Mkuu Kuhani,

Unataka kujua au kupewa alichosema Mama Malecela kwenye hii bajeti?

Nataka kujua kama alicho kisema Malecela kina relevance au mchango wowote kwenye hii bajeti ambayo ameipitisha vizuri tu baada kuimbiwa chereko chereko kwa 'akijadili bajeti' kwa ukali.

Isije ikawa alikuwa 'off topic' halafu akapata vichwa vya habari kwa kuchangia bajeti kumbe hakufanya chochote - na ninavyoona mimi hana uwezo - wa kusaidia inapokuja kwenye uchumi na uhasibu wa hii bajeti aliyo ipitisha vbila kokolo baada ya hotuba za kukusanya halaiki, populist rhetoric.
 
Umesema unataka kujua ... relevance ya kitu. Huoni kuwa una-generalize kile unachotaka kujua kwenye msingi ambao ni relative na ambao unategemeana na perception ya anayesikia au kusoma (na au ili) kujua kama hicho kilichotamkwa ni relevant or not?

Mbona wewe usikiweke hapa (kama unacho) na kisha ukasema (kwa maoni yako mwenyewe) kama kilichosemwa ni relevant? na baadaye maoni yako na ya wale watakaopingana nawe (kama wapo) yakapimwa na wasomaji?
 
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani .
 
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani .

Mkuu Lunyungu,

Hata mimi bado nasubiria kwa hamu toka kwa walio dodoma kuhusu hii kura muhimu kabisa ya Mama Malecela kwenye kuruhusu kupita kwa hii bajeti. Hata hivyo bado sielewi kulikuwa kuna umuhimu gani wa upinzani au yeyote aliyetaka kupinga hii bajeti kuvote abstain badala ya kuvote no.

Kuna mtu anasababu yoyote? Je wewe unajua kwa nini wamevote abstain badala ya kuvote no kuipinga?
 
Umesema unataka kujua ... relevance ya kitu. Huoni kuwa una-generalize kile unachotaka kujua kwenye msingi ambao ni relative na ambao unategemeana na perception ya anayesikia au kusoma (na au ili) kujua kama hicho kilichotamkwa ni relevant or not?

Mbona wewe usikiweke hapa (kama unacho) na kisha ukasema (kwa maoni yako mwenyewe) kama kilichosemwa ni relevant? na baadaye maoni yako na ya wale watakaopingana nawe (kama wapo) yakapimwa na wasomaji?

Unanipa shinikizo niseme mawazo yangu wakati nilikuwa nataka kusikia ya wenzangu kabla ya kukurupuka. Lakini kwa heshima yako, the illustrious and incomparable, authentic Nubian queen, Mwafrika wa Kike, I will submit!

Karipio la Malecela na rants za 'hapa hapatatosha pesa zisiporudi' wakati 'akijadili bajeti' zilikuwa irrelevant populist rhetoric, za kusanya halaiki, na hazisemi lolote kuhusu the nitty gritty za bajeti. Malecela alitumia wakati wa Bunge ambao masikio ya Taifa yameinuka kusililiza bajeti ili kufunga magoli ya kisiasa wakati ishu yenyewe ya kurudisha hela za EPA sasa hivi haitishi kuisema tena. Angetamka hivyo kabla tume tume za Serikali hazijasema wameshaanza kurudisha hela.
 
Unanipa shinikizo niseme mawazo yangu wakati nilikuwa nataka kusikia ya wenzangu kabla ya kukurupuka. Lakini kwa heshima yako, the illustrious and incomparable, authentic Nubian queen, Mwafrika wa Kike, I will submit!

Infecting the infectiously infector never make the heavly infectediciously infected less infectious (najifunza bado toka kwa mwl Pundit). Katika hili bado sioni shinikizo au ombi zaidi ya nia ya kutaka kupanua mjadala

Karipio la Malecela na rants za 'hapa hapatatosha pesa zisiporudi' wakati 'akijadili bajeti' zilikuwa hoja irrelevant populist rhetoric, za kusanya halaiki, na hazisemi lolote kuhusu the nitty gritty za bajeti. Malecela alitumia wakati wa Bunge ambao masikio ya Taifa yameinuka kusililiza bajeti ili kufunga magoli ya kisiasa wakati ishu yenyewe ya kurudisha hela za EPA sasa hivi haitishi kuisema tena. Angetamka hivyo kabla tume tume za hazijasema wameshaanza kurudisha hela.

Karipio la Mama Malecela ni mwanzo wa kile ambacho kinachokuja. Kile ambacho ni kikubwa zaidi, kile ambacho watanzania wengi sana ambao siku hizi wanatumia muda mwingi sana leo hii kusikiliza yanayoendelea bungeni wanakitegemea - Muendelezo wa mjadala.

Hii bajeti inaonekana kabisa kuwa hata wale ambao nilitegemea wangepiga NO (ingawa kupiga no hakusaidii chochote hapa) ni ya ajabu kiasi cha kuwafanya wa-abstain.

Kikubwa hapa kwa Mama Malecela ni muendelezo wa debate, vita kubwa sana nyuma ya pazia kupata wafuasi zaidi na kukusanya kundi kubwa at the same time kupata free time kwenye TV na radio za bongo kuyafunua wazi yale yote yanayofanywa na viongozi mafisadi.

Nitakosea sana nikimjaji mama Malecela leo badala ya kusubiri mpaka huu mjadala wote uishe kisha nitoe hukumu yangu ya kutokea Marekani na kwa kutumia evidence za mtandaoni au media.

Natumaini nimesaidia kueleweka hapa.
 
Infecting the infectiously infector never make the heavly infectediciously infected less infectious (najifunza bado toka kwa mwl Pundit).

A cardinal rule of Punditian diction is that you don't use different variation of the same damn word, like 'marvel the marvelously marvelous work ' or 'outrageously outraged.' Trust me on this, i seen all the books the kid used to jack from Peace Corps library on Bibi Titi Street. j/k!

Nitakosea sana nikimjaji mama Malecela leo badala ya kusubiri mpaka huu mjadala wote uishe kisha nitoe hukumu yangu ya kutokea Marekani na kwa kutumia evidence za mtandaoni au media.

Bajeti ishapitishwa, ndio imetoka tena!

Malecela ka score political points kwa 'kuchangia bajeti' akisema "hapa hapatatosha...fedha za EPA zisiporudi." Laiti angesema toka hawajatangaza pesa zimeanza kurudishwa. Lulz!
 
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani .

M-gmail Zitto atakuambia..
 
Bora wangebaki wakapiga kura ya Hapana badala ya the so called abstain vote. Kwa mie mkulima wa Ilolanguru nisie jua hata maana ya abstainee najua hakuna kura za hapana
 
Bora wangebaki wakapiga kura ya Hapana badala ya the so called abstain vote. Kwa mie mkulima wa Ilolanguru nisie jua hata maana ya abstainee najua hakuna kura za hapana

Yule mtu aliyeanzisha thread ya jinsi alivyoshangazwa na tabia za wabunge wote huko bungeni kuzagaa zagaa ovyo mitaani na hata kutokuwa makini na hoja huko bungeni alitufungua macho.
Kuna ambao weshapewa chao.
Wengine nao bado wanasikilizia..Waje hapa JF tutawambia ni njia ipi waende...Humo bungeni na hayo mambo ya kichawi ni balaa tupu kwani hata hatujui kama bado wanatumia akili zile zile ama wesharogeka!
 
Anna Kilango alisapoti hii bajeti au ali abstain ? Naomba kujua hili maana huwezi kuwa bitter namna ile the ukaunga mkono 100 kwa 100.Naomba mnisaidie kuelewa hili jamani.

Ahsante Mkuu.

Uzuri wa JF, siku zote kutakuwa na mtu anaona upande mwingine wa shilingi, hata kama mko watatu dhidi ya mia tatu.

Malecela anakuja kama mtetezi, anasema mali ya umma hailindwi. Tumpe yeye ailinde?

Plato aliulizwa 'nani atalinda walinzi?' Akashindwa kujibu, akaanza ku spin!
 
ku abstain na kusema no si sawasawa. kwa vile no inaonyesha umeikataa kata kata bajeti hiyo.

tungependa kupewa list ya walio abstain ili tujue wapinzani gani waliingia waliikubali bajeti na ccm gani walii abstain ( kama wapo)

manake tumekuwa wepesi wa kuwakubali hawa ccm wakati mara nyingi ni maneno tu, ikifika wakati wa vitendo ni kule kule kwa chama hata kama kikisema kikodishe nchi nzima
 
from the beginning this is a week group ... wenzao wababe kuliko ... that's why they no impact .. whether they agree or refuse ... guess their number also matters wachache mno
 
Back
Top Bottom