Operesheni Zinduka 13 - Dr. Slaa Aliniahidi Nini? Sikiliza Sauti za Wanaomkataa Lowassa

MMM,

Unless Uniambie sababu kwa nini Dr. Slaa alikuwa anatulaghai mda wote huo kwamba ni Mr. Clean. Kumbe yeye na Prof. Lipumba walikuwa wameshavuta toka CCM.......na hiki ndo wote mnaotuaminisha kwamba EL ni fisadi..hamtaki kutwambia.

I am sorry to say.... though I am no big fun of Lowassa, lakini wewe, Slaa na the so called wapenda ukweli wote mnaendesha siasa za kilaghai........ You are a bunch of opportunists.....Of all people..I don't trust the likes of MMM and co. who claim to be holier than though! Wote ni matapeli wa siasa.

Just leave us to vote the way we see and deem fit.

Masanja

U need to put evidence in the table to support ur claim.....

Vinginevyo hayo ya Dr na Prof remained to be porojo
 
[video]https://youtu.be/HY_HCisbzGY[/video]
Wengi wameuliza imekuwaje Mwanakijiji hajaamua kuunga mkono treni hili lililoondoka stesheni? Imekuwaje sikudandia wimbo wa "mabadiliko-Lowassa". Inawezekana labda niliahidiwa kitu na Dr. Slaa sasa nimekikosa na hivyo sikuwa tayari kumuunga mkono Lowassa. Nalijibu swali hili na pia kukupa nafasi ya kusikia baadhi ya Watanzania ambao wazi kabisa wanatangaza kuwa hawako tayari kumchagua Lowassa kama Rais wao. Ameshaanza kukataliwa na atakataliwa na Watanzania wengi Oktoba 25. Litakuwa funzo kwa wanasiasa wanaotaka kuongoza kwa ulaghai na hadaa.

siku uliyo upload video ni jana na leo unaleta uzi hapa na hao uliowahoji bila shaka ni makada wenzako tuu,af sauti inaonekana yakuigiza ya mtu mmoja,ningeamini hiyo video kama ningeona ulikua unahoji watu live ukiwa barabarani

CCM OUT

TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU KWA AMANI
 
Hivi mtu mwenye akili zake unampaje kura ccm hii wakati kiongozi inaemaliza mda wake wapinzani ndio walikua wanapigani maslai ya mwananchi Leo tumesau kabisa bila hao Leo sijui ingekuwaje
 
[video]https://youtu.be/HY_HCisbzGY[/video]
Wengi wameuliza imekuwaje Mwanakijiji hajaamua kuunga mkono treni hili lililoondoka stesheni? Imekuwaje sikudandia wimbo wa "mabadiliko-Lowassa". Inawezekana labda niliahidiwa kitu na Dr. Slaa sasa nimekikosa na hivyo sikuwa tayari kumuunga mkono Lowassa. Nalijibu swali hili na pia kukupa nafasi ya kusikia baadhi ya Watanzania ambao wazi kabisa wanatangaza kuwa hawako tayari kumchagua Lowassa kama Rais wao. Ameshaanza kukataliwa na atakataliwa na Watanzania wengi Oktoba 25. Litakuwa funzo kwa wanasiasa wanaotaka kuongoza kwa ulaghai na hadaa.

bado siku nne tu tuwanyamazishe hzo polojo zenu
 
<b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=118" target="_blank">Mzee Mwanakijiji</a></b>,

Acha unafiki kama umeamua kuleta operesheni Zinduka utuache nasisi tuzinduke kwa upande wa pili... Umekuwa na tabia za kutupiga ban tunaoandika ukweli mchungu dhidi yako na post zetu unafuta kila tukiandika unazifuta!!

Wapambanaji gani nyie sio majasiri? kwanini mnataka platform inayowabeba tu? kwanini hamruhusu mabishano ya hoja nzito kiasi kwamba tukiandika yetu unafuta??

NDIO MAANA SLAA AMEOGOPA NA KUKIMBILIA USA BAADA YA KUSHINDWA KUPEWA JUKWAA LA PEKE YAKE BILA KUPATA UBISHANI....

UTANIPIGA SANA BAN ILA SITAACHA KUKUPA UKWELI...

MSALIMU BWANA MIHOGO NAJUA YUPO HAPO SEBLENI KWAKO.
 
siku uliyo upload video ni jana na leo unaleta uzi hapa na hao uliowahoji bila shaka ni makada wenzako tuu,af sauti inaonekana yakuigiza ya mtu mmoja,ningeamini hiyo video kama ningeona ulikua unahoji watu live ukiwa barabarani

ccm out

tulianza na mungu tutamaliza na mungu kwa amani

washenz sana nyie, mmeanza na shetan mmemaliza na shetan,
 
Huyu mtu mwambieni kuwa Lowasa ataweza kukataliwa au kukubalika kwa kura tuu, sasa yeye anadhani huu ushambenga wakati hapigi kura unamsaidia nini? Nakumbuka kulikuwa na rafiki yangu mmoja Mjaluo alikuwa anamkataa sana Kenyatta wakati ule wa uchaguzi kule Kenya.
Siku ya uchaguzi tukiwa naye huku Tanzania, akaniambia kuwa kumchukia kwake Kenyatta amegundua hakutamsaidia lolote Odinga maana yeye hapigi kura. Na ndio maana ya uchaguzi, kama humpendi mtu mpigie kura ya hapana na sio maneno ya kwenye kanga na kijungu jiko kila siku kama shambenga

Naona hata topic za Mzee Mwanakijiji siku hizi watu hawachangii tena wameona hazina mashiko.Mzee Mwanakijiji amechanganyikiwa sana inawezekana alihaidiwa cheo Dr Slaa, hili povu lake Mzee Mwanakijiji sio la bure kuna kitu nyuma ya pazia
 
[video]https://youtu.be/HY_HCisbzGY[/video]
Ameshaanza kukataliwa na atakataliwa na Watanzania wengi Oktoba 25. Litakuwa funzo kwa wanasiasa wanaotaka kuongoza kwa ulaghai na hadaa.

Yawezekana hiyo sentensi kuna mtu kakuandikia au kaingilia ID yako.
Kweli unafikia huko!. MMM unajua muda mwingine ugonjwa wa akili huwa inaanza taratibu na unakuwa umesababishwa siyo kwakufikiri bali umetokana na mihemko ya moyo tu!

Usiwe na wasiwasi Lowassa hana kinyongo na wale wote waliomwita fisadi fisadi! Amekwisha samehe siku nyingi.
Unajua Lowassa alikwenda hija Israel ?.Ndiyo maana aliweza kuja CDM pamoja na maneno na madongo yote waliyomtupia miaka nenda rudi.

Kwa hiyo kura yako na nduguzo kwa UKAWA ni busara isipoteen lakini hataisipo kuwapo kwa UKAWA haibadili kitu.

siku uliyo upload video ni jana na leo unaleta uzi hapa na hao uliowahoji bila shaka ni makada wenzako tuu,af sauti inaonekana yakuigiza ya mtu mmoja,ningeamini hiyo video kama ningeona ulikua unahoji watu live ukiwa barabarani

CCM OUT

TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU KWA AMANI

Inavyoonekana mlianza na Mungu lakini sasa mnamaliza na mungu. Tundu Lissu alisema hata ikibidi hata kumtumia shetani mtamtumia ili mradi waitoe ccm. Kuna Mungu hapo?
 
mbona hata sioni cha maana ulichokiweka hapa we mwanakijiji.Youtube gani mbona kwangu naona picha ya Dr.mihogo isiyosogea?! halafu hiyo sauti ya nani anaongea kiuoga hata sauti haisikiki?
We mzee umebakiza hatua chache sana uwe mchawi!
 
siku uliyo upload video ni jana na leo unaleta uzi hapa na hao uliowahoji bila shaka ni makada wenzako tuu,af sauti inaonekana yakuigiza ya mtu mmoja,ningeamini hiyo video kama ningeona ulikua unahoji watu live ukiwa barabarani

CCM OUT

TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU KWA AMANI

Hata mimi nimegundua hilo baada ya kuisikiliza hii clip.By the way kama sio utapeli mbona amerekodi sauti tu na hakuonesha picha?
 
[video]https://youtu.be/HY_HCisbzGY[/video]
Wengi wameuliza imekuwaje Mwanakijiji hajaamua kuunga mkono treni hili lililoondoka stesheni? Imekuwaje sikudandia wimbo wa "mabadiliko-Lowassa". Inawezekana labda niliahidiwa kitu na Dr. Slaa sasa nimekikosa na hivyo sikuwa tayari kumuunga mkono Lowassa. Nalijibu swali hili na pia kukupa nafasi ya kusikia baadhi ya Watanzania ambao wazi kabisa wanatangaza kuwa hawako tayari kumchagua Lowassa kama Rais wao. Ameshaanza kukataliwa na atakataliwa na Watanzania wengi Oktoba 25. Litakuwa funzo kwa wanasiasa wanaotaka kuongoza kwa ulaghai na hadaa.

Mzee Mwanakijiji kwa muda mrefu umewaaminisha watu kuwa unaishi nje ya Tanzania. Hapana. Wewe unaishi Tanzania isipokuwa hivi karibuni umekuwa ukitoka na kurudi Tanzania.
 
Back
Top Bottom