Operesheni ya Magufuli yatikisa Dar

Mzee Magufuli Chapa Mwendo!! Mimi na wengine wengi Tuko Nyuma Yako!! Kujenga Jamii yenye Kujali ustaarabu ni Gharama!! Na Unayoyafanya Ndio yenyewe!! Dar Ustaarabu Umepotea Hadi Kero!! Endelea baba Tupo Bega kwa Bega na wewe!!

Ni kweli kabisa,jamii hii hupenda mazuri sana lakini hawajui kuwa iliupate mazuri ni lazima ujitolee kwa kufunga mkanda na kupitia ktk mazingira magumu kama hayo

na kila panapohitajika maendeleo ni lazima kuna watu wataumia tu,ila kwa upande wa barabara zetu ni sisi wenyewe ndio tumevunja sgeria,sasa wahusika wa kutekeleza sheria wanapo zitekeleza tuna anza kupiga kelele
 
kama tunataka barabara hizi ni lazima tumwache Magufuri afanye kazi yake.

ChinaRoads.jpg

Engimtolera, hizi barabara tunazitaka sana tu kwa maendeleo yetu na vizazi vyetu.
Lakini tukumbuke na maneno ya Mwalimu pia kuwa maendeleo ni watu na si vitu.
Sijaona ni kwa nini ndugu zetu hawa waharibiwe vibanda vyao, wakati mali zao zikiwa ndani. Hawa watu wana familia na wanasomesha. Na kibaya zaidi wanategemea biashara hizi ili kujikimu (kumbuka hawa wana haki ya kuishi pia). Unataka kuniambia kweli hakuna namna nyingine?
 
Back
Top Bottom