Operesheni Sangara Mkoa wa Morogoro yaisambaratisha kabisa CCM

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Wana JF zifuatazo ni sehemu ya takwimu za mafanikio ya Operesheni Sangara Mkoani Morogoro zilizotolewa na Kamanda wa Operesheni hizo Bw. Benson Kigaila
Operesheni Sangara Morogoro yaisambaratisha CCM - YouTube
Kazi wanayo mwaka huu
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao
 
Kama mnajua kuwa Chadema wamepoteza muda Morogoro ikawaje tena mkawatumia polisi kuua!!
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao
Naona umezoea kupata rushwa ya Usafiri wa bure kupitia mabasi ya Abood kipindi cha uchaguzi ndio inakuzuzua mwisho wake umefika hata mmwage polisi kila raia awe na wake lazima moto uwake
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

Acha kuwa na mawazo ya kijima, kuza ubongo wako uwe na uwezo wa kufikiria nje ya boksi...ni vyema ukasema tutamchagua mtu anayeonyesha dhamira ya dhati ya kutuhudumia, na sio kusema mbunge wetu ni Aziz Abood. Huu ni utoto.
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

Vijana watakaoharibika ni watoto wako na wadogo zako kwa sababu ya kuwanyima elimu,si kwa kua wewe haukuelimika eti ndio iwe kigezo watoto nao wasi elimike,peleka watoto shule ndugu!Moro imeamka na wasomi wameongezeka,mkutano wa juzi na nguvu waliotumia c.c.m na jeshi la polisi mpaka kuua lakini wakashndwa dhibiti nguvu ya umma na hata maudhurio ya wana Moro ktk mkutano wa M4C ni jawabu tosha,utabaki wewe tu
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

utaendelea kuwa konda tuu japo kuwa hatapita ubunge hiyo 2015, baada biashara ya mabasi haitapotea akishindwa ubunge
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

aiseee babaangu gamba linawasha,sisi vijana wa moro 2po teyari kwa mapambano
 
Kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

Kwa hyo hao vijana mmewafanya mandondocha hawajui jema na baya hamtaweza kuwazuia tena si mmeona mlivotumia nguvu kudhibiti raia wa moro kwani walikua wanaenda wapi? M4C ni kiboko yenu.
 
Wanajinyea mpaka wanawatumia policcmagamba kuua,na bado ndo wamechochea petrol kwenye moto unaowaka.
 
kama ni mkoa waliopoteza muda chadema ni morogoro hapa hatutaki kuwaona wanawaharibu vijana wetu akili na hata iweje mbunge wetu ni azizi abood na si yule mla unga wao

wewe hutavua gamba bali utachunywa ngozi halafu tukuvalishe gwanda,inaonekana gamba lako linaukoko wa muda mrefu
 
magamba yameshikwa pabaya,2015 tunawakaribisha kijiweni muoenje ladha ya jua maana mmezoa vipupwe
 
Back
Top Bottom