Oparesheni ya kuondoa Watanzania Sudan imetangaza Ukubwa wetu kama Taifa

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
Pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Mwinyi kwa kuratibu "kibingwa" moja ya jukumu muhimu katika historia ya Taifa langu Tanzania!

Operation Samia in Khartoum ndio jina pekee ambalo naweza kuibatiza kazi nzuri na kazi ya kizalendo iliyofaywa na Maofisa wa Ofisi ya Rais kwa kuweza kuingia Sudan kibabe na kufanikiwa kuwaokoa Watanzania karibia 200 pamoja na watu wa Mataifa mengine yakiwemo ya Marekani Nchini Sudan kukwepa mauaji na vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea!

Samia's Rescue Operation ndani ya Sudan imeweza kwa mara nyingine tena "kuprove" kwa adui zetu wa ndani na adui zetu wa nje ukubwa, weledi na umakini wa idara yetu ya Usalama wa Taifa(TISS).Pongezi zaidi ziende kwa "Operatives"wetu kutoka Ofisa hiyo muhimu kwa Taifa!

Huu ni ujumbe kwa vijana ndani ya Taifa hili kuwa, wajibu wetu kwa Taifa hili la Tanzania ni wajibu wa kufa na kupona!Tanzania kwanza maisha yangu baadae, Uzalendo kwanza mengine baadae!

Huu pia ni ujumbe kwa Watanzania kuwa Rais wenu Samia Suluhu Hassan yupo tayari usiku mchana asubuhi kulinda maisha ya kila Mtanzania waliopo ndani na nje ya mipaka ya Nchi!

Mimi kama kijana wa CCM pia nakupa pongezi za dhati kabisa kwa kutupa heshima kubwa ndani na nje ya mipaka yetu!Hakika haikuwa kazi rahisi kuplan,kutekeleza "mission" hiyo bila kumwaga tone la damu la Mtanzania yoyote!

Hongera Rais wangu,Hongra Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa na Hongera Amiri Jeshi Mkuu wangu,Mama Samia Suluhu Hassan.

+255746724684(Maoni).



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Safiiii sana. Kuwafata wenzetu limekuwa jambo la maana. Rais anajali.. Hongera.
Tanzania yetu 🎵
Tanzania yetu 🎵
 
Hongera Mama la Mamaz
Huku Dr Samia pale Dr Tax
Na viongozi na watumishi wote kwa juhudi zenu kwenye hili
Kama mtanzania nimefarijika
 
Hakuna operation samia wala semie. Eti kuingia Sudan kibabe! Nyoko!

Mapigano yalisitishwa kwa makundi hasimu kukubali ombi la kusitisha mapigano juzi juzi ili kuruhusu uokozi wa raia wote wa kigeni kuondolewa Khartoum!

Uokozi ulihusu mataifa yote, ambapo sisi raia wetu walielekezwa sehemu ya kukutania na walikuja kubebwa na mabasi pamoja na raia wa nchi nyingine.

Hakuna cha ubabe wala TiSS wala mavi yoyote, punguza kujikweza mshamba mmoja wa tiss wewe
 
Kumbe waliwekwa pa kusubiria wachukuliwe, nkajua kililia kwanza.
 
Back
Top Bottom