Onyo kwa wanaopenda kuangalia na kuiga styles za picha za ngono

Ukiangalia ngono unajimaliza akili inakuwa haipo sawa...kati ya vitu ambavyo vilitokea kwenye maisha yangu nikavipenda ni kuacha kuangalia ngono na picha za uchi...ilinisaidia sana..nlibadilika mno hata kifikra...na kitu kingine ni kuacha matumizi yasiyo ya lazima ya mtandao..facebook, twitter, instagram...nipo kwenye process za kumconvice mchumba wangu nae aachane na mitandao hasa facebook..inasaidia kutuliza akili na kutumia muda vzr..!
 
Wanaoangalia picha za ngono ni kwa wale maomo zege ndo wnatumia kutongozea,wapiga punye,na wanaotak kuota kwanini uangalie picha hizo muangalie mkeo/mmeo/boifeendo/gelofrendowako inatosha na zaidi zinapunguza nguvu za kiume kwa kuzoea kuona k na t za aina mbalimbali uchangamfu na msisimko wako hupotea shangaaa why premature ejaculation nyingi zinatokea au laaa haisimami msizoee na muache kuangalia hizo picha
 
Ukiangalia ngono unajimaliza akili inakuwa haipo sawa...kati ya vitu ambavyo vilitokea kwenye maisha yangu nikavipenda ni kuacha kuangalia ngono na picha za uchi...ilinisaidia sana..nlibadilika mno hata kifikra...na kitu kingine ni kuacha matumizi yasiyo ya lazima ya mtandao..facebook, twitter, instagram...nipo kwenye process za kumconvice mchumba wangu nae aachane na mitandao hasa facebook..inasaidia kutuliza akili na kutumia muda vzr..!

bila shaka ni uamuzi wa busara
 
100likes from mi
 
Back
Top Bottom