Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

Labda nitumie nafasi hii hii pia kumpa pole mleta mada!
MOSI-@[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=144417"]Heinrich Himmler[/URL], nakubaliana na maoni ya huyu Mzalendowetu niliyemnukuu. Service ni kitu cha msingi sana kabla hujaanza safari ndefu kama hiyo ya Songea-Dar. Hata kama gari ni jipya, usijipe uhakika wa 100% kwamba liko fit, lijaribu kabla hujalisafiria. Kulikagua usalama kwa fundi wa mtaani haigharimu hata 20,000/.
PILI-Kwa gari za automatic transmission kama ilivyo Noah, unapokuwa umepakia mzigo mzito ama abiria wengi na unashuka mlima kama Kitonga inatakiwa utumie gia L pale kwenye gear lever ikisaidiana na breki. L imewekwa kwa ajili ya kushukia milima mikali (wame lock L kwenye gia namba 1) pale gari inapokuwa na mzigo. Kwa mantiki hiyo, hata kama breki zitafeli, gari haiwezi kwenda kwendo mkubwa kwa sababu imekuwa locked kwenye gia namba 1 ambayo ni nzito, itakusaidia hata 'kujibamiza' salama kwenye kingo. Unapopanda mlima ukiwa na mzigo unatumia gia na 2 iliyo kwenye hiyo lever.
Kama kuna maswali zaidi niulize, kwa kuwa nina Noah pia na hiyo njia uliyopita ndio njia yangu almost kila mwezi.
...huwa nachapa lapa sana njia hizi lakini hii shule imeongeza kitu kwangu,pamoja kiongozi...
 
Lena wewe hebu tutolee hizi pumba
Ndugu, badala ya kutuma kashfa kama hizo, nadhani kwanza ungeanza kumpa pole kwa ajali. Ni kipindi cha kumfariji mwenzetu, sio kumtusi. Hata wewe kuna kipindi ulikuwa learner!

Mkuu umenena, hizo D 1 na 2 (L), madereva wengi wa auto wanaziona mapambo!
Ni kweli kabisa mkuu. Wengi hawajui matumizi yake, ndio sababu tunaelimishana.
Idimi asante kwa elimu, hebu nisaidie hapa, binafsi ninapo endesha automatic car huwa natumia D peke yake na mara nyingi nimeona kubadilisha gia mara zote ni lazima usimame kwanza. Now, swali ni kutoka kwenye D kwenda kwenye L ama 2 ... je ni lazima usimame kwanza ndo ubadilishe then uendelee na safari ama unaweza kubadilisha ukiwa katika mwendo?????

Ndugu,
Hapo kwenye wekundu ndipo nitakapopatolea maelezo. Kama nilivyosema hapo juu, L ni gia ni nzito. Kwa hiyo kutoka kwenye D kuja L ni lazima upunguze sana mwendo, isizidi 20 KPH, au ikibidi usimame kabisa ndipo utoke kwenye D kuja L. Ukipeleka moja kwa moja ikiwa kwenye mwendo unaweza kuua gari ni sawa na kuhama kutoka gia namba 4 au 5 na kuhamia namba 1 huku gari ikiwa kwenye mwendo, kwenye gari lenye manual transmission. L ni kwa ajili ya kushukia kwenye milima ukiwa na mzigo.
 
nikaamua kuliovateki, katika kuliovateki lile roli nikawa nimeliacha gari langu limechanganya speed ili niliovateki roli. Hamadi namaliza kiliovateki kuna kona kali upande wangu mimi dereva,
Pamoja na ushauri mzuri wa kukagua uimara wa breki na gari kwa ujumla, katika ku overtake ndipo pana shida. Madereva wengi, wakiona gari lililopo mbele liankwenda taratibu huamua ku overtake bila ya kuelewa jinsi barabara ilivyo huko mbele au kama kuna kipangamizi (gari, kona n.k). Kwa ushauri wangu baada ya kuwa na uzoefu wa udereva zaidi ya miaka 30 ni kwamba: si lazima ku overtake kila mara. Wakati mwingine, punguza mwendo, tulia na furahia mandhari, mpaka hapo utakapo kuwa na uhakika wa ku overtake.
 
Idimi asante kwa elimu, hebu nisaidie hapa, binafsi ninapo endesha automatic car huwa natumia D peke yake na mara nyingi nimeona kubadilisha gia mara zote ni lazima usimame kwanza. Now, swali ni kutoka kwenye D kwenda kwenye L ama 2 ... je ni lazima usimame kwanza ndo ubadilishe then uendelee na safari ama unaweza kubadilisha ukiwa katika mwendo?????

Wataalam wanashauri unapotaka kubadili gea, hasa kwenye magari haya ya automatic, ni vema ukasimama. Kubadili ukiwa kwenye mwendo kasi unaweza kusababisha madhara makubwa kwenye gear-box.
 
Pamoja na ushauri mzuri wa kukagua uimara wa breki na gari kwa ujumla, katika ku overtake ndipo pana shida. Madereva wengi, wakiona gari lililopo mbele liankwenda taratibu huamua ku overtake bila ya kuelewa jinsi barabara ilivyo huko mbele au kama kuna kipangamizi (gari, kona n.k). Kwa ushauri wangu baada ya kuwa na uzoefu wa udereva zaidi ya miaka 30 ni kwamba: si lazima ku overtake kila mara. Wakati mwingine, punguza mwendo, tulia na furahia mandhari, mpaka hapo utakapo kuwa na uhakika wa ku overtake.

Mkuu Dingswayo, hapo kwenye nyekundu umenena mkubwa.....Tanzania ina mazingira mazuri sana ya kuadmire, ni vizuri ukaenda sloow ukafaidi uzuri wa nchi, ukiona barabaa imenyooka na haina trafic unamwomba wa mbele yako taratibu huku unapiga kamluzi, akikuruhusu unagonga mguu mrefu pedal to the metal mashine inanyanyuka unayoyoma kwa raha zote!
 
Last edited by a moderator:
Automatic Car Gear Selector
P=PARK - the gear selector should be in this position when the car is parked as it typically locks the transmission so that the car cannot move. In conjunction with this, the parking brake (hand brake) may also be applied. On most cars, the engine cannot be started unless the lever is in this (or 'N') position.

R=REVERSE - selecting this position allows the vehicle to be driven in the reverse (backwards) direction.

N=NEUTRAL - in this position, the engine is disconnected from the drive train (gears) and the vehicle will not be propelled in either direction when the gas (accelerator) pedal is pressed. The wheels are not locked and the vehicle will be able to roll downhill if the brake pedal is not pressed.

D=DRIVE - this is the position that is typically used when the vehicle is being driven. As the vehicle increases (or decreases) in speed, the automatic gear box will select the correct gear for both speed and road conditions.

2=GEAR 2 - typically, automatic gear boxes have 3 of 4 forward gears, so some vehicles may have both 2 and 3 marked on the hear selector. By using this position, the driver 'locks' the transmission in a lower gear so that the engine will run with increased revolutions. This is useful when rapid acceleration is desired. It should be noted that maintaining high revolutions in lower gears will increase the fuel consumption of the vehicle and also the stresses on the vehicle and passengers. It should therefore be used for short periods only.

L=LOW - (may be indicated by '1') this is the lowest gear (or 1st gear) available. This position is useful when the vehicle needs to negotiate difficult terrain (such as a steep incline with a poor surface). For downward slopes, the LOW gear provides additional braking through the engine.

OD=OVERDRIVE - for vehicles fitted with this option, an extra gear is provided that has a lower ratio than the normal top gear. The power output delivered by this gear is low in comparison to the normal gears and is used for high speed cruising (on interstates / motorways etc). Engine revolutions are reduced, as are noise levels. Fuel consumption is improved.
 
Automatic Car Gear Selector
P=PARK -
R=REVERSE -
N=NEUTRAL -
D=DRIVE -
2=GEAR 2 -
L=LOW - OD=OVERDRIVE -

Hii sasa ndio elimu katika JF pamoja na ile aliyotoa Idimi kwani tulishazoea magari ya Manual Gear na tukiyaendesha haya ya Auto tulidhani hakuna haja ya Elimu kumbe unaweza tupa Gearbox chini au ukaingia mtaroni.
Kuhusu service kila saa nakataa kwani ajali inaweza kukuta popote, Pie za Brki zimekatika au rubber au upepo umevuja
Pole mleta Thread na ugua pole
 
Last edited by a moderator:
Idimi asante kwa elimu, hebu nisaidie hapa, binafsi ninapo endesha automatic car huwa natumia D peke yake na mara nyingi nimeona kubadilisha gia mara zote ni lazima usimame kwanza. Now, swali ni kutoka kwenye D kwenda kwenye L ama 2 ... je ni lazima usimame kwanza ndo ubadilishe then uendelee na safari ama unaweza kubadilisha ukiwa katika mwendo?????

Duuhh......Mkuu inabidi urudi shule ya kuendesha gari......moja ya sababu kubwa ya ajali nyingi barabarani ni watu kama aliyeleta mada na wewe ndugu yangu.......

Ni muhimu kuifahamu gari yako vyema....hilo ni jambo a msingi kabisa tulilofundishwa hata kabla ya kuanza mafunzo ya kuendesha gari.........naona siku hizi watu wakishajua kunyoosha usukani....na kufahamu breki ziko wapi basi.......safari inaanza Dar-Songea.......hii ni hatari sana....

Mleta mada pole aisee....
 
Aisee tamu sana,naomba mnao fahamu sheria za barabarani mlete uzi kabisa wa haya mambo wengi lesen tumechukua tu
 
Aisee tamu sana,naomba mnao fahamu sheria za barabarani mlete uzi kabisa wa haya mambo wengi lesen tumechukua tu

Ni kweli Mkuu, watu wengi wanaona kwenda driving school ni kama kupoteza muda, wengine wametingwa na mjukumu, lakini umuhimu wa driving school unabki palepale, kule unajifunza mambo mengi sana yakiwamo basic mechanics za gari pamoja na sheria za usalama barabarani. Pamoja na kujifunza kwa watu mbalimbali, marafiki, vijiwezi, na mitandaoni kama hivi lakin pia ni vyema unapopata nafasi kidogo unahudhuria zile seminar fupi zinazoandaliwa kwa pamoja na VETA na Jeshi la Polisi, usizichukulie kama darasa au chuo kivile, we zichukulie kama seminar utazifurahia tu sana; unajua unakuwa confident sana unavolijua gari vizuri...gari lenye matatizo mara nyingi unalijua kwa muungurumo tu na milio mbalimbali ambayo learner mara nyingi hawezi kuskia kwa sababu haskilizi au anaskia lakini anaignore au anashindwa kutafsiri! Ndiyo maana mara nyingi unakutana na mtu anapiga gia tu gari inapiga kelele na inashikwa kabisa, hata mtu wa nje tu akiskia mlio anajua huyu mtu hajatoa handbrake..!!!! kuna vitu vidogovidogo vingi mkuu, in fact tunajifunza siku hadi siku na kuongeza ujuzi kama hivi tunavyokutana na watu mbalimbali JF na kwingineko!
 
Pole sana nadhani safari nyingine utakuwa makini na kuifanyia service gari yako..
 
Automatic Car Gear Selector
P=PARK - the gear selector should be in this position when the car is parked as it typically locks the transmission so that the car cannot move. In conjunction with this, the parking brake (hand brake) may also be applied. On most cars, the engine cannot be started unless the lever is in this (or 'N') position.

R=REVERSE - selecting this position allows the vehicle to be driven in the reverse (backwards) direction.

N=NEUTRAL - in this position, the engine is disconnected from the drive train (gears) and the vehicle will not be propelled in either direction when the gas (accelerator) pedal is pressed. The wheels are not locked and the vehicle will be able to roll downhill if the brake pedal is not pressed.

D=DRIVE - this is the position that is typically used when the vehicle is being driven. As the vehicle increases (or decreases) in speed, the automatic gear box will select the correct gear for both speed and road conditions.

2=GEAR 2 - typically, automatic gear boxes have 3 of 4 forward gears, so some vehicles may have both 2 and 3 marked on the hear selector. By using this position, the driver 'locks' the transmission in a lower gear so that the engine will run with increased revolutions. This is useful when rapid acceleration is desired. It should be noted that maintaining high revolutions in lower gears will increase the fuel consumption of the vehicle and also the stresses on the vehicle and passengers. It should therefore be used for short periods only.

L=LOW - (may be indicated by '1') this is the lowest gear (or 1st gear) available. This position is useful when the vehicle needs to negotiate difficult terrain (such as a steep incline with a poor surface). For downward slopes, the LOW gear provides additional braking through the engine.

OD=OVERDRIVE - for vehicles fitted with this option, an extra gear is provided that has a lower ratio than the normal top gear. The power output delivered by this gear is low in comparison to the normal gears and is used for high speed cruising (on interstates / motorways etc). Engine revolutions are reduced, as are noise levels. Fuel consumption is improved.
Asanteni sana Ieni na Idimi kwa elimu yenu. Swali langu ni kwamba kuna baadhi ya magari automatic ambayo licha ya kuwa gia hizo za hapo juu, yanazo pia gia special za H4, L4 (kirungu). Sasa ninapotaka kuweka gia za kirungu lever ya gari langu nitaiweka kwenye D au kwenye L?
 
Pole mkuu,wakati mwingine usi overtake mahali ambapo si salama.. len na Idimi asanteni kwa shule
 
Last edited by a moderator:
Duuhh......Mkuu inabidi urudi shule ya kuendesha gari......moja ya sababu kubwa ya ajali nyingi barabarani ni watu kama aliyeleta mada na wewe ndugu yangu.......

Ni muhimu kuifahamu gari yako vyema....hilo ni jambo a msingi kabisa tulilofundishwa hata kabla ya kuanza mafunzo ya kuendesha gari.........naona siku hizi watu wakishajua kunyoosha usukani....na kufahamu breki ziko wapi basi.......safari inaanza Dar-Songea.......hii ni hatari sana....

Mleta mada pole aisee....

Kwa umbumbumbu wako na misifa uliyonayo unafikiri elimu inapatikana shule tu ... wewe ndo unatakiwa urudi shule! If u r coming from legally 'prevelage' family na si kile kizazi cha nyoka nenda katoe sadaka na umshukuru MUNGU coz gari si 'makalio' kwamba kila mtu analo na akaweza kujifunza na kujua kila kitu!!!!
 
Asanteni sana Ieni na Idimi kwa elimu yenu. Swali langu ni kwamba kuna baadhi ya magari automatic ambayo licha ya kuwa gia hizo za hapo juu, yanazo pia gia special za H4, L4 (kirungu). Sasa ninapotaka kuweka gia za kirungu lever ya gari langu nitaiweka kwenye D au kwenye L?

Jamii Forum Iko juuu..
Kujibu hapo juu.
Hiki kirungu unachozungumzia H4 na L4 ni kwa ajili ya four wheel drive.
H4 ni pale ambapo unatumia four wheel but at a higher speed. kwa hiyo inaenda na D
L4 ni kw speed moderate kila gari ina specification za speed limit unapokuwa kwenye four wheel.
L4 should therefore go with gear position 3, 2 and 1.
kwa gari za sasa ambazo ni AWD rather than 4wd zenyewe zinadetect slip/traction na hivo kuadjust automatically.
kwa mfano rahisi rav4 SX11 automatic ni AWD na four wheel yake inafanya kazi hadi speed ya 30kph, baada ya hapo inadisengage.

Ni kosa kubwa kabisa kwenda spidi kubwa wakati gari iko loked kwenye 4wd.
 
Sina uzoefu mkubwa barabarani ila nishaendesha safari ndefu kama Dar- Arusha km 650 mara nyingi
Sababu kubwa za ajali nilizoona ni hizi hapa:
1. Watu kudhani magari yao yana nguvu sana na kutaka kuovateki kila gari analoliona mblele yake
2. Kuovateki kwenye kona na kwenye milima
3. Magari yasiyofanyiwa maintanance
4. kutokukagua matairi ya gari- gari inatoka japan na tairi zinangaa mpya unadhani ni salama. Jamani tyres have got expiry date. Angalieni sana hili. ajali nyingi sana nimeshuhudia kwa sababu ya tairi zilizo-expiry.
5. Barabara usioijua endesha kwa adabu..
6. barabara ambazo ziko kwenye matengenezo ni hatari sana.. unaweza pita asubuhi pako sawa ukipita jioni wameshaweka diversion
7. Safari za usiku sio salama- vision inapungua sana. you can harldy see more than 100meters kwa 180degrees
 
Back
Top Bottom