Only above 25 yrs old

katavi mie mtoto wa baba na mama,na nilishajitegemea longtime kitambo!

Huku kwetu wale wote ambao bado hawajitegemea wanaishi kwa wazazi tunawaita watoto wa mama!

Cantalisia we si umepewa chumba kimoja na mzee mtambuzi cha kule nyuma unachoishi na mumeo rejao? tena akawakabidhi na ile toyota stout pick up iliyokuwa ikitumika kuchukulia majani ya kulishia ng'ombe toka shamba! Lol!!!!!! Bisha..!!
 
Last edited by a moderator:
ah kwa raha zangu sasa kama kuolewa siolewi niende wapi nikajitegemee vp na wakati nafanya kazi karibu na nyumbani,thanks buddy ila kuna jinsi umenigusa
 
Mimi niko kwenye nyumba za kulelea wazee natamani nirudi ujanani niishi na wazazi ila ndio basi tena.
 
mh,smtm uwe unapunguza ukali wa maneno hujui una wakwe zako hm? aala. . utanyimwa mke hv hv ati!

Dia umeanza visa, unataka kuniambia kuwa hata siku nikiomba kitobo utamu utaniletea stori za ukweni?
Cant be serious?
 
Marahaba mkwe! Salama huko? Huku wazima twala maharage mabichi karibuni sana na mahindi ya kuchoma tayari.

Nashukuru mkwe, mie nishakula mihogo hapa kwa ajili ya start up, afu baadae nile wali, si unajua kwetu Ipogoro?
 
Back
Top Bottom