Lyangalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2009
- 679
- 234
Ukitaka kuangalia status zako za kupiga kura ingia katika website ya NEC ambapo utaweka nambari yako ya kupiga kura kwenye Registration Status na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana through email. Hapa utapata au utaweza kujua kama kituo ulichopangiwa ni sahihi au la. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.
Link ya kufuata ni hii
http://www.nec.go.tz/?modules=gallery&sub
Link ya kufuata ni hii
http://www.nec.go.tz/?modules=gallery&sub