Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,997
- 7,552
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?