Ongezeko la Watu Afrika litaiokoa Dunia na Janga la Kuporomoka Uchumi na wimbi la Wazee wanaozidi kuongezeka Duniani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Kwa mujibu wa mtaalamu na mtafiti wa masuala ya idadi ya watu anasema Matumaini ya Dunia yamebebwa kwenye mabega ya watu wa Afrika.

Kwamba Hadi kufikia 2050 Mataifa yaliyoendelea yatakabiliwa na tatizo kubwa la wazee huku yakikosa nguvukazi Kwa sababu ya kuporomoka Kwa viwango vya uzazi kwenye Mataifa hayo hivyo kutishia na Kuporomosha Uchumi.

Kwamba by that year Watoto 3 kati ya 5 watakaozaliwa Duniani watakuwa ni Waafrika.Na watu 3 kati ya 5 Duniani watakuwa ni Waafrika.

Wataalamu wanasema Artificial intelligence Bado haitaweza kuwa mbadala wa Mwanadamu hivyo Bado binadamu atahitajika zaidi Kuendesha Uchumi.

Ukweli wa Mambo.
Kuna ushahidi mkubwa wa jambo hili analoongea mtaalamu Kwa sababu China imeamua kufuta sera yake ya mtoto mmja Baada ya idadi ya Watoto wanaozaliwa kupungua sana.

Aidha Germany na Canada zimekuwa zinatoa vibali Kwa wahamiaji kutoka Afrika kuhamia Nchi zao Kwa Ajili ya kwenda kuziba gap ya nguvukazi inayosababishwa na idadi ndogo ya Ongezeko la watu.

Maswali.
1./Dunia imeshajua kwamba tumaini walilonalo ni Afrika,Je Waafrika tunalijua Hilo?

2./Swali Je kama hivyo ndivyo Hatuoni kwamba Wazungu watazidi kuchochea migogoro Afrika Ili watu wakimbie Bara Hili na kwenda Ulaya? Hoja hii nauliza Kwa kusingatia kwamba Endapo Hali ya Uchumi na usalama vitaimarishwa Afrika hakuna mtu atatamani kuhamia Ulaya au China hivyo Crisis itaendelea kuwalemea.

3./Je Kwa nini Hali ya kimaisha inavyoimarika Watu hupunguza kuzaa? eg Kwa Sasa fertility rate ya Tanzania imepungua kutoka 6.8 hadi 4.8 Kwa mwanamke.

My Take
Ni vyema Waafrika tusikubali sera ambazo zinahamasisha kupunguza kuzaa Bali tuwe na sera ambazo zinasema Kila mtu azae Watoto anaweza kuwamudu kuwalea na hapa tuwe na sera za lazima kwamba mtu akiwa mzima asipungue Watoto 4 kwenda mbele na watakaozaa zaidi ya 4 wapewe motisha.

Kwa sababu kitu pekee ambacho kitaipa Nguvu Afrika ni idadi ya watu,tuitumie kama silaha.Binafsi ni muumini wa watu wengi.

View: https://www.instagram.com/reel/C0gkGrAMOmE/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Hao wazungu wasilete ujinga, sera za kifala waanzishe wao, alafu kupigika tupigike wote, Africa doesn't owe the world anything. Kila mtu aishi kwa ajili yake.
 
Kwa mujibu wa mtaalamu na mtafiti wa masuala ya idadi ya watu anasema Matumaini ya Dunia yamebebwa kwenye mabega ya watu wa Afrika.

Kwamba Hadi kufikia 2050 Mataifa yaliyoendelea yatakabiliwa na tatizo kubwa la wazee huku yakikosa nguvukazi Kwa sababu ya kuporomoka Kwa viwango vya uzazi kwenye Mataifa hayo hivyo kutishia na Kuporomosha Uchumi.

Kwamba by that year Watoto 3 kati ya 5 watakaozaliwa Duniani watakuwa ni Waafrika.Na watu 3 kati ya 5 Duniani watakuwa ni Waafrika.

Wataalamu wanasema Artificial intelligence Bado haitaweza kuwa mbadala wa Mwanadamu hivyo Bado binadamu atahitajika zaidi Kuendesha Uchumi.

Ukweli wa Mambo.
Kuna ushahidi mkubwa wa jambo hili analoongea mtaalamu Kwa sababu China imeamua kufuta sera yake ya mtoto mmja Baada ya idadi ya Watoto wanaozaliwa kupungua sana.

Aidha Germany na Canada zimekuwa zinatoa vibali Kwa wahamiaji kutoka Afrika kuhamia Nchi zao Kwa Ajili ya kwenda kuziba gap ya nguvukazi inayosababishwa na idadi ndogo ya Ongezeko la watu.

Maswali.
1./Dunia imeshajua kwamba tumaini walilonalo ni Afrika,Je Waafrika tunalijua Hilo?

2./Swali Je kama hivyo ndivyo Hatuoni kwamba Wazungu watazidi kuchochea migogoro Afrika Ili watu wakimbie Bara Hili na kwenda Ulaya? Hoja hii nauliza Kwa kusingatia kwamba Endapo Hali ya Uchumi na usalama vitaimarishwa Afrika hakuna mtu atatamani kuhamia Ulaya au China hivyo Crisis itaendelea kuwalemea.

3./Je Kwa nini Hali ya kimaisha inavyoimarika Watu hupunguza kuzaa? eg Kwa Sasa fertility rate ya Tanzania imepungua kutoka 6.8 hadi 4.8 Kwa mwanamke.

My Take
Ni vyema Waafrika tusikubali sera ambazo zinahamasisha kupunguza kuzaa Bali tuwe na sera ambazo zinasema Kila mtu azae Watoto anaweza kuwamudu kuwalea na hapa tuwe na sera za lazima kwamba mtu akiwa mzima asipungue Watoto 4 kwenda mbele na watakaozaa zaidi ya 4 wapewe motisha.

Kwa sababu kitu pekee ambacho kitaipa Nguvu Afrika ni idadi ya watu,tuitumie kama silaha.Binafsi ni muumini wa watu wengi.
View attachment 2809804
 
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1725061928689516846?t=By_yf2KIiPrSV76gCnNRGA&s=19
 
Wewe ni kichaa mnajaza tu matahira huku Afrika kwa kuzaliana hovyo kama wendawazimu.
 
Back
Top Bottom