Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,427
Ongeeni, ongeeni midomo isiwanuke. . .
Semeni semeni mpaka yawashuke. . .
Mie nimejitulizaa, wangu mi aniliwaza. .
Yani kama ni mchezo umepata mchezaaji. .
Kama ni igizo limepata mwigizaji. .
Nyie kazi kusema. . . .
Amani mwajinyima. . .
Furaha kwenu adimu nawaambia mtajijuu.
Khaaa. . yani leo ndio nimejua hata wamama wa huku kijijini wanaongea. Hiyo "ongeeni midomo isinuke" nimeisikia kwa.wamama wafanya biashara Sanya/Lawate. . . nikaona isiwe tabu ngoja na mie nianze utunzi wa taarab. Mpaka xmass ntakua nshatoa walau singo moja!!