Ombi letu wanywaji(alcoholics)

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni moja;tunaomba mboreshe huduma za matibabu haswa upande wa matibabu ya moyo,figo na ini.haya magonjwa yanaua sana walipa kodi wenu!tukumbukeni na sisi walevi jamani!tambueni mchango wetu kwenye budget jamani!
 
Jackbauer, mkuu ni lazima utambue kuwa kuna wanywaji na walevi.Socially hayo ni makundi tofauti kabisa katika jamii.
Mnywaji anaweza kuwa mlevi lakini si lazima awe mlevi.
Mnywaji vile vile anaweza kuwa social drinker na anakunywa kwa kiasi chake, he controls his drink.
Mlevi(alcoholic) yeye hawezi kudhibiti kinywaji chake na madhara yake.
Pamoja na maoni yako ya kuwa kinywaji kina madhara kwa wanywaji hilo halina mantiki ukitilia maanani kuwa anaye athirika na kinywaji ni yule mlevi.
Magonjwa yanaymsibu ni matokeo ya TABIA ya ulevi.Na huu si ugonjwa bali matokeo ya tabia isiyofaa ya ulevi, tabia inayoweza kuepukika.
Kwa upande mwingine , bado mchngo wa wanywaji ni mkubwa kwa bajeti ya Taifa, mkazo wa elimu ya tabia inabidi utolewe kwa wale wanywaji wa kupindukia(walevi) ili Taifa lisiingie gharama isiyo ya lazima kwa kugharamia magonjwa yasiyo ya lazima kama figo, moyo na ini n.k.
 
Kama ingekuwa ni mimi basi ningewagomea Pombe zao nione watapataje Pesa..
 
By the way_wanataka pato la taifa lipate in expense of our leissure,........huu ni upuuzi sawa kabisa na kupandisha kipato kwa kuwafanyisha kazi watu kama pumda in the way hawapati hata muda wa kupumzika wala ku-settle mind zao na kuthink vitu vingine,......wajitahidi kuwa wabunifu
 
Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni moja;tunaomba mboreshe huduma za matibabu haswa upande wa matibabu ya moyo,figo na ini.haya magonjwa yanaua sana walipa kodi wenu!tukumbukeni na sisi walevi jamani!tambueni mchango wetu kwenye budget jamani!
Thread of the Day..........Platinum!

imekula kwenu
Ish! We haijala kwako? Tusipokunywa madaktari watapata wapi mshahara? Utatibiwa na nani wakigoma?

Safi sana jack!
Hakika wewe utakuwa nami kwenye ufalme wangu!

Pombe haifai ndugu yangu, ndio mana maandiko matakatifu yaka ikataza.
Kitabu kipi? Umekisoma vizuri?

sasa kwa nini mchukue kodi za walevi?
Hebu waulize bandugu! Wanachonga sana huku wanakula kodi zetu!
 
"UBIMWI" = Ukosefu wa Bia Mwilini. Ni maneno niliyoyaona kwenye ubao wa matangazo kwenye baa ya maafisa wa gereza la mtego wa Simba Kingorwira mkoani Morogoro lilkisisitiza watu kunywa bia. Tangazo lilikuwa na orodha nyingi za hasara kwa mtu asiyekunywa bia. Kwa hali hii, hata bia ikiuzwa sh 10,000 watu wataendelea kunywa na rushwa n.k vitaongezeka. Unadhani Wabongo wanajali!!
 
"Wine is a mocker, strong drink is a brawler, and whoever is led astray by it is not wise." (Proverbs 20:1, NKJV)
 
"Wine is a mocker, strong drink is a brawler, and whoever is led astray by it is not wise." (Proverbs 20:1, NKJV)
proverbs 31; 6-7, 'give beer to those who are perishing, wine to those who are in anguish. Let them drink and forget their poverty and remember their misery no more.....Hivyo basi, kwa maskini kama sisi, na watu wenye shida mbali mbali ya aina yoyote ile.. Pombe imehalalishwa, na ni nzuri kbsa,,
 
Well said Mr. Architect
 
You people!
Athari za alcohol sio kwa mnywaji tu peke yake! Hii huleta madhara mpaka kwa wengine tena wasioitumia wala kuihitaji kama watoto, spouses na hata jamii! Maovu mangapi yaletwayo na pombe?
Waulize watoto wa NUHU wa safina!
:angry:
 
You people!Athari za alcohol sio kwa mnywaji tu peke yake! Hii huleta madhara mpaka kwa wengine tena wasioitumia wala kuihitaji kama watoto, spouses na hata jamii! Maovu mangapi yaletwayo na pombe? Waulize watoto wa NUHU wa safina!:angry:
mkuu lazima ulinganishe athari na faida ndio utoe hukumu!
 
asee hapa stii neno nina kili km 5 kichwani na moja mkononi! in fwakiti,im drinkingi beer to save water!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom