Ombi la kazi yoyote

MAKALA

Member
Mar 31, 2009
47
12
kuna mdada kama miaka 22 amemaliza form four tu.
sasa anahitaji msaada wa kazi yoyote ile ya ofisini au hata kama sio ya ofisini kuanzia kutengeneza chai na nyinginezo ambazo zitaendana na elimu yake. nahitaji msaada wenu. ahsante
 
Msaada mkubwa atafute kozi yoyote ambayo anaona inaendana na credit zake asome. Mie simshauri kutafuta kazi bali namshauri asome kwanza. awe na ujuzi hata wa mambo ya hotel management, secretarial na nyingine nyingi.

Ni bora kufundisha kuvua kuliko kumpa samaki
 
Umri wake bado unamruhusu kuendelea na masomo. Akasome profesional certificate ambayo inaendana na masomo aliyosoma O' level. Siku hizi Form four ni elimu ndogo sana.
 
Kwa kuwa ameomba msaada wa kazi yoyote, na si kweli kwamba kwa udogo w elimu yake hawezi kupata kazi, kwani ni sehemu nyingi ambazo wapo watu wenye kiwango cha elimu kama chake na wanafanya kazi. Ni vema kama kuna mwenye uwezo wa kumsaidia kupata kazi inayolingana na uwezo wake afanye hivyo.
 
kwa kuwa ameomba msaada wa kazi yoyote, na si kweli kwamba kwa udogo w elimu yake hawezi kupata kazi, kwani ni sehemu nyingi ambazo wapo watu wenye kiwango cha elimu kama chake na wanafanya kazi. Ni vema kama kuna mwenye uwezo wa kumsaidia kupata kazi inayolingana na uwezo wake afanye hivyo.


........ni kweli mkomba.....
 
kuna mdada kama miaka 22 amemaliza form four tu.
sasa anahitaji msaada wa kazi yoyote ile ya ofisini au hata kama sio ya ofisini kuanzia kutengeneza chai na nyinginezo ambazo zitaendana na elimu yake. nahitaji msaada wenu. ahsante

Mkuu,

Huyo mdada ndo yule uliyekuwa unamtafutia kazi siku zile au ni mwingine?...angalia tangazo lako hapo chini;
icon1.gif
Maombi ya kazi yoyote .

Guys
kutokana na ugumu wa maisha nimeombwa na binti wa kama miaka 20 kazi yoyote ile kwenye ofisi yoyote ile.
So naomba msaada wenu. Naomba utani usiwepo ni very serious.
 
Mkuu Makala hongera naona umepata ajira mpya ya kutafutia watu kazi.....haswa akina dada "wabichi"....duh duh..du ebana eeeh yap yap yap...!
 
Kuna mtu anatafuta housegeli. Ni PM contact nimfowadie kama huyo binti yuko tayari kuifanya hiyo kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom