Ole Ikayo ndio muarubaini wa Arumeru Magharibi

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
nimefika hapa arumeru magharibi jimbo la mbunge Goodluck ole medeye wa ccm Jumatatu kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na shirika letu kama kawaida yangu nikajichanganya sehemu mbali mbalimbali kujua hali ya kisiasa jimboni hapa

kwakweli nimeuona Muamko mkubwa sana wa Wananchi na upinzani huku ni mkubwa kupita kiasi yaani ccm inapumulia mashine kusema ukweli ccm haiwezi kushinda uchaguzi huu wa October yaani wananchi wanasema "huyo ole medeye atafute kazi nyingine hapa ole ikayo anatosha"

nimejaribu kumtafuta huyo ole ikayo na leo nimemuona yaani.ni kijana mdogo sema anauwezo.mkubwa sana kama chadema na ukawa wakimpitisha kugombea ushindi kwao ni kama kumsukuma mlevi tu

mwenye cv ya huyu kijana atupe
 
Back
Top Bottom