Habarini wandungu, hapa uhamiaji kurasini kitengo cha work permit kuna mama mmoja (MAMA P...E) anatoa sana vibali hovyo kwa kupewa rushwa hasa kwa wenzetu jamii ya waasia kiasi kwamba sasa kila kona wahindi wamejaa na wengine hata qualification hawana, just imagine wanasema ni IT consultant ila ukimkuta ofisini hafanyi kazi hizo anafanya bank reconciliation je ni kweli Watz vyuo vyetu havina uwezo wa kutoa qualified people to do even bank recon, NBAA nao wako wapi na sio hao tu hata kwenye field nyingine eg engineering, wapi ERB?? wapi CRB???, Wizara ya ajira na maendeleo ya vijana wako wapi???.
Kuna kampuni ya wadosi wao ndio wanajifanya maexpart wa kuleta wahindi hapa nchi wakifika pale kila kitu wanampatia mama p, then permit za magumash zinatoka.
Waziri wa wizara husika fanya maamuzi magumu mama p aondolewe pale hafai..
aliye na nyongeza anakaribishwa tafadhali